GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,043
- 119,616
Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC ' Tajiri ' Zackaria Hanspoppe ' ametengua ' rasmi ' maamuzi ' yake ya ' Kujiuzulu ' aliyoyatoa jana na sasa amerejea rasmi Msimbazi na ataendelea kuisaidia na kushirikiana na Uongozi wote wa Klabu.
Kila la kheri.
Kila la kheri.