Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 761
Meridianbet ni kampuni ambayo ilijipatia umaarufu mkubwa sana na kuwa na followers wengi wanaobet kwao,wakabweteka huduma zao mbovu ukienda kwenye maduka yao,ukiwin kuwithdraw tabu ukienda dukani mpaka uwapoze wahudumu ndio wakupe hela,ukiwithdraw kwa simu itakuchukua Muda mpaka uwapigie customer care uombeeee utadhani sio haki yako.
Sasa Sportpesa ameingia atawanyosha maana jana nimejaribu kucheza nikawin nikafanya trial ya kuwithdraw nikapata hela yangu katika mpesa yangu ndani ya dk moja tu.
Je meridian kimewashinda nini kumfanya mchezaji atoe pesa zake kwa njia ya simu kwani mpaka muonane kwenye maduka yenu yenye usumbufu?
Mtandao wenu ndio the worst mtandao kwa Tanzania kila siku unastack ukitaka kucheza Muda WA mchana mbona wapinzani wenu mitandao yao mirahisi tu wala haikwami kwami.
Hakika MBABE mtoa mamilioni ya kufa mtu kaja bongo msipojirekebisha itakula kwenu.
Binafsi kwa bongo itakuwa sportpesa,mkekabet na ladbrokes tu mjengoni.
Meridian hata app yenu nimeing'oa kwa simu yangu.