bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Mpaka sasa naweza sema Yanga ni bingwa wa Tanzania 99% iyo moja tunasubiria game ya Mwisho Simba vs Mwadui,sio masihara iyo game Simba atatakiwa ampe mtu kipigo cha mbwa mwizi magoli si chini ya 13.
Kwenye mpira kuna mengi lolote laweza tokea mtu akala 13 bila majibu na kuingia kwenye kumbukumbu tamu za mwaka huu anza na ile Psg vs barca ila naye akaja kula kichapo kutoka kwa Juve.
Hapo hapo akiombea Yanga apigwe na Mbao fc ila kwa hizi Chainsaw za Yanga sidhani kama kuna msitu utasalia.
Tusubiri kama tutapata ajabu lingine la dunia.