kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,420
- 13,934
Sikubahatika kuangalia mechi ya Serengeti dhidi ya Mali lakini nilikuwa nasikiliza matangazo ya Radio One na TBC taifa. Mtangazaji Radio One, Amri Masare kwenye matangazo yake kasema Serengeti imefungwa bao moja. TBC inasema 0-0. ukweli ni upi kwa waliongalia live? Ilikuwaje Masare aseme vile, kulikuwa na utata gani? maana matangazo yao yalichelewa kutufikia hadi kipindi cha pili cha mechi