Wakali wa soka katika bara la Amerika ya Kusini walikutana jana!!!

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,515
6,222
Wakali wa soka nchini ARGENTINA na bara la AMERIKA YA KUSINI kati ya BOCA JUNIORS NICKNAME-LA BOMBONERA
_____________na________________
CLUB ATLETICO RIVER PLATE NICKNAME-
Los Millonarios (The Millionaires) La Banda (The Strip) El Campeón del Siglo XX (The Champions of the 20th Century) El Mas Grande (The Greatest One)


Wameumana ambapo BOCA JUNIORS kapigwa 3 by 1 nyumbani kwao LA BOMBONERA na mtani wake RIVER PLATE

Wafungaji ni

Upande wa RIVER PLATE
  • Gonzalo Martinez
  • Lucas Alario
  • Sebastian Driusi
Kwa upande wa BOCA
  • Fernando Gago

Msimamo katika ligi zao BOCA bado anaendelea kuongoza

BOCA JUNIORS points 49
SAN LORENZO points 46
RIVER PLATE points 45
NEWELLS OLD BOYS points 45
BANFIELD points 45

Zaidi cheki hapa

 
Hizi mechi zikikutana waga ni tamu balaa wazee.ni kama Barcelona na Real Madrid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom