Usikose Kutazama Live Spoti Hausi Leo Saa 10:00 Jioni

Sir Lindege

Member
Sep 10, 2013
35
181

https://www.instagram.com/explore/tags/spotihausi/
[HASHTAG]#SpotiHausi[/HASHTAG] ni kipindi cha [HASHTAG]#Michezo[/HASHTAG] kinacholetwa kwako na [HASHTAG]#GlobalTVOnline[/HASHTAG] kila [HASHTAG]#Alhamisi[/HASHTAG] saa 10:00 jioni.

Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote kuntu ya ki-sport mwanzo mwisho.Ubingwa wa Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL).Tuzo za wachezaji, makocha na waamuzi LIgi Kuu Tanzania Bara.Manchester United alivyonyakua Ubingwa wa Europa League dhidi ya Ajax.Mechi ya Fainali Kombe la FA, Simba Vs Mbao FC mjini Dodoma.

Usikose leo Mei 25, 2017, SAA 10:00

Wageni wetu watakuwa ni Msemaji wa Timu ya Ruvu Shooting Masau Bwire na Kocha wa Kagera Sugar Mecky Maxime.

Ni hapa hapa [HASHTAG]#GlobalTVOnline[/HASHTAG] Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1
@salehjembe
@phillipnkini

# SUBSRIBE [HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] [HASHTAG]#GlobalTVOnline[/HASHTAG]
 
Channel gani na king'amuzi kipi. Sababu Internet ni majanga bundle itatuua
 
Back
Top Bottom