Kweli hawa ni mbumbumbu

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Wiki hii nimegundua. Hakuna jambo rahisi kama kuwa kiongozi wa klabu ya Simba. Uwezo wako wa kucheza na akili ya mashabiki wa Simba unaweza kuwa kiongozi wao milele na milele. We kuwa muongo tu.

Fans wa Simba wengi wao sio wote ni wavivu mno kufikiri. Naona wanasambaza taarifa kuwa FIFA wametuma barua TFF kwa DHL...loh hivi hata kusoma hawajui kuwa FIFA hufanya kazi na wanachama wao kwa FAX na Emails?

Mie nahisi mmerogwa tu..haiwezekani kila mmoja anaimba wimbo mmoja DHL, FIFA mara CAS..

Aaah...watu wametuma Dagaa wa kukaanga FIFA wenye ujazo wa kilo 1 gram 50.

Anyway..Dr JPM aliposema tumuombee..sikuwa nimemuelewa..sasa nimemuelewa zaidi. Kwa sababu ya fans kama hawa wa Simba
 
Yaani simba fc ni ma-ndima na mazuzu kweli kweli, yaani yaliongoza ligi kwa muda mrefu kwa tofauti ya points 8 kwa aliyekuwa anafuatia siku ya mwisho yakakamatika na kudondokea nafasi 2, hahaaaaaa
 
GIGY MONEY anataka kugombea uenyekiti wa Club ya Simba, maana ni rahisi kuwaendesha kwa propaganda mambumbumbu FC... Yaani wanendeshwa kama Ng'ombe.. Nahisi hawa wana akili Kama nyumbu..
 
Back
Top Bottom