Wanasimba mmeshapata matokeo ya rufaa yenu kutoka FIFA?

Hureeeeeeeee!

FIFA woyeeeeeee!

Kaburu woyeeeeee!

Aveva woyeeeeee!

Manat...ooh sorry, Manara woyeeeeee!

6502048283104.jpg


FIFA sio kama TFF yenye kumung'unya maneno. Wametupa kombe kubwa kuliko la Yanga na fedha juu. Na pia wamesema mechi yetu na Mbao Kavu tutaletewa refarii Marten Meinzklot kutoka Ujerumani na washika vibendera kutoka Sweden majina yao si mepesi kwangu.

Hiyo yote ni kuhakikisha Mbao Kavu hawachezeshi mchezaji mwenye kadi tatu za njano na kusababisha tufungwe 2-1.

Simba woyeeeee!
 
Simba wana ulemavu wa akili na hata ...ngozi so ni wa kupuuza kbsa mwaka 2017/2018 tutamuachia ubingwa singida united
 
Simba wana ulemavu wa akili na hata ...ngozi so ni wa kupuuza kbsa mwaka 2017/2018 tutamuachia ubingwa singida united
Simba watasubiri sana, Kama wameshindwa mwaka huu kwenye gape la points 8,...bhaassss
 
Back
Top Bottom