Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Wakuu, pana michuano ya FIFA U20 inayofanyika huko Korea Kusini. Michuano hii ni mizuri mno ila ratiba yake inanichanganya kwani hata watangazaji wetu wa radio na TV wamejikita kwenye timu za EPL. Kwenye ratiba inayoonesha saa kwa Afrika Mashariki aitupie hapa. Natanguliza shukran.