Glory Glory Glory Manchester united

Naona watu wamepaki treni leo
Maee halafu wamelitoa kwenye reli kama la Kigoma
71ffa4e6aafa47761f5f088fd1813ff9.jpg
 
Ndio palikuwa pamebaki hapo na vijana hawakutuangusha hawa ajax mpira wa kumiliki muda mwingi united wakiupata wanafanya kitendo kisha tunatulia fellain kama jiwe walilolikataa waashi anafanya yake pale kati mipira ya juu mingi alishinda yeye damian na valencia kazi waliifanya vyema mpaka kumfikia romero ilikuwa mlima mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom