Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
FYI-Zawadi ya mfungaji bora wa ligi ya EPL ,inayojulikana kama Premier League Golden Boot ,ambayo Harry Kane amechukua kwa mara ya pili mfulilizo ,mfungaji bora huwa anapewa kiasi cha £1,000 kwa kila goli analo funga ,kwa maana hiyo Harry Kane amepata kiasi cha £29,000 msimu huu pekee.
Thierry Henry ndio mchezaji pekee anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora katika misimu minne toka league ya EPL ianzishwe.
Spain kwenye Laliga tuzo ya mfungaji bora inaitwa ,Trofeo Pichichi, msimu wa 2011–12 ,Lionel Messi alifunga goal 50 za laliga pekee na kufanikisha kuchukua ufungaji bora wa Laliga na kuweka historia ya kuwa mfungaji bora mwenye magoli mengi kwa msimu mmoja wa laliga.
Mtu aliyeweka record ya kuwa mfungaji bora kwa misimu mingi ya Laliga alikuwa anaitwa Telmo Zarra,aliyechukua Trofeo Pichichi mara 6 katika mismu 6 katika club yake ya Athletic Bilbao.
Tanzania mfungaji bora anapewa Million 5 na ........