GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,618
Kwa habari za chini ya Kapeti ambazo bado naendelea kuzihakiki zinasema kwamba hatimaye tayari FIFA wameshafanya maamuzi juu ya Rufaa ya Simba SC na kwamba kuna barua imeshatumwa tena kwa DHL kwenda TFF ikiwa na maamuzi kuwa Simba SC ndiyo washindi wa rufaa yao na kwamba zile points 3 walizopewa na Kamati ya Saa 72 ni halali ila TFF wanaogopa kutangaza kwa kuhofia pengine fujo zitatoteka.
Ewe Mwanasimba SC popote ulipo kuanzia muda huu anza sasa kujiandaa kwenda mitaani kushangilia kwani sasa ni rasmi kuwa Simba SC ndiyo Bingwa wa VPL na muda wowote TFF watatangaza.
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC na hasa Mzee wetu Ismail Aden Rage kwa kuipigania haki ya Simba SC ambayo hatimaye kupitia TFF leo tumeipata na sasa Wanasimba tunaanza kujiandaa kusheherekea Ubingwa.
Mwanasimba yoyote upatapo tu taarifa hii mtaarifu na mwanasimba mwenzio na anzeni sasa kufanya mazoezi ya kuushangilia Ubingwa ambao ni haki yetu na tumeuhangaikia kwa muda mrefu. Na kama kuna Mtu aliye karibu hapo na Msemaji wa TFF Bwana Alfred Lucas tafadhali mwambieni awaite Press ( Wana Habari ) na atangaze kilichopo katika hiyo barua iliyowafikia kwa njia ya DHL mchana huu.
Leo nina furaha ya ajabu kwanza......

- Liverpool FC tumeingia nne bora
- Serengeti Boys jana imeyaaga mashindano huko Gabon
- Simba SC imepewa haki yake na FIFA na Simba SC sasa ndiyo mshindi rasmi wa VPL.