Hawa wazee wa Simba ndio wachawi au ni uswahili tu

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,634
7,010
Nimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji!
Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana maendeleo ya Simba!Naombeni wanachama tuungane kuwapinga hawa wazee njaa.J*nga sana hii mizee!
 
Ni kuwapa tim tu wabaki nayo, waihudumie tuone
 
Hawa wazee wa Simba ni kama wale wale wa Yanga akina Yahya Akilimali. Kwenye shida huwasikii, wanaibuka panapokuwa na mpunga.

Wazee hawa ndio waliokuwa wanajiita watu wa mpira zamani. Kama kuna zimwi la mpira nchini ni watu wanaojiita watu wa mpira = wakizeeka wanakuwa watata sana
 
Nimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji!
Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana maendeleo ya Simba!Naombeni wanachama tuungane kuwapinga hawa wazee njaa.J*nga sana hii mizee!
Aiseee niliwasikia Jana kwenye taarifa ya habari! Hata kama dewji anamapungufu yake ilikuwa sio busara kumjibu kwa kashfa namna ile!
 
Wazee wa yanga na simba in tatizo.wanadhani kipindi HK no km enzi zao hiki no kipindi cha biashara Mpira in biashara.niinyi wazee acheni majungu na uchawi wenu.
 
Back
Top Bottom