Moi Dinya
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 1,296
- 825
Salaam wanabodi,
Ligi imemalizika weekend iliyopita na YANGA kukabidhiwa kombe lake.
Wana simba wamefungwa Mawazo yao na kauli za Manara na aveva kuhusu kukata rufaa FIFA ili wasipate Muda wa kuhoji kipindi chao cha utawala kwanini hawajachukua kombe na kuipa mafanikio timu ya Simba.
Muhimu kwa wanasimba wanatakiwa wawe na msimamo kwa kuuliza ni lini (tarehe na mwezi) kuwa majibu ya rufaa yatakuwa tayari?
Je TFF haina wanasheria na Watu makini kiasi cha kujiridhisha kuwa haki haikutendeka?