Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari waungwana, Leo bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limepata ugeni mwingine wa wanamichezo, klabu ya Simba SC imehudhuria kama wageni katika kipindi cha asubuhi. Mabingwa wa soka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo ndio fainali kombe la ASFC kaa tayari tuwe pamoja Vikosi vya vitakavyoanza. Bingwa wa hapa ndio atawakilisha kwenye kombe la Shirikisho Afrika CUF. Mpira umeanza rasmi Mbao fc 0-0 Simba...
3 Reactions
633 Replies
71K Views
Leo nahodha wa club ya simba sports club mkude amekunusurika Kifo katika Ajali iliyotokea maeneo ya moro, wakati wakitoka Dodoma baada ya kumaliza mechi yao ya jana dhidi ya Mbao Fc na kushinda...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
FA Cup Za Leo Celtic vs Abardeen= Celtic Winner Simba Vs Mbao= Simber Winner Arsenal Vs Chelsea=? Alaves Vs Barcelona=? Tusubiri Sasa
0 Reactions
2 Replies
815 Views
safari ya matumaini ya timu mbovu ya man utd inafikia ukongoni leo kwani celta vigo watashinda 2-0 na kuiacha man u ikikosa nafasi ya kuingia fainali. Jana imeshushwa hadi nafasi ya 6 baada ya...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Kuna mtu anaweza nieleza la var ball ni nani? anahusika na nini hasa? watoto wake wako wangapi? why ana umaarufu? whats so special about him na his family? nimesikia kuna kiatu wanatoa wauze...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wale mlio dodoma uwanjani au mliopo kwenye tv tunaomba updates
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Ningependa tu kuwakumbusha, Ni kitambo mno tangu muinyanyue tuzo ya Bingwa wa VPL... Sina uhakika kama mnajua hata uzito (in Kg) wa ndoo ya VPL.... Je mnajua kuwa 2013 sio Leo, Jana wala Juzi...
0 Reactions
6 Replies
936 Views
Ukiangalia jezi za Timu mbalimbali kuna nembo zinaweza kuwa za wadhamini wao au kutangaza biashara zao binafsi. Tuangalie Nembo hizo na Maana yake japo nyingine ni ngumu ila naimani hapa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Msimu wa 2015/2016: Vs Msimu wa 2016/2017:. Kombe la mapinduzi. 2015/2016: Nusu Fainali. 2016/2017: Mshindi wa 2. Ila ni kwa taabu saana, maana nasikia “ndugu zetu” Azam baada ya mechi walilala...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Josep "Pep" Guardiola Sala ametoka bila kikombe chochote katika msimu wake wa kwanza na timu yake ya Man City ,na siku zote mambo yake yanapokwenda kombo humtafuta rafiki yake anayejua kufikilia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbao fc aka wood fc Vijana kutoka Mwanza aka Rock city kwanza niwape hongera kwa kuleta changamoto kwenye soka la bongo tulishazoea Fainali nyingi ni Yanga,Simba au Azam ila leo Mmeonyesha kuwa...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Kati ya makocha wazawa wanaonikosha mojawapo ni Meck Mexime,huyu namfananisha kama mkufunzi La Masia kapika wachezaji sana naimani mchezaji ukiwa chini ya meck Mexime upo chini ya mikono salama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuboronga kwa Serengeti Boys kwenye michuano ya vijana hakuwezi kupita tu hivi hivi kama upepo bila kujadiliwa . Mafanikio ya timu yoyote ya soka kwa kiwango kikubwa huchangiwa na kocha wa timu...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Mwenye matokeo ya GHANA vs MALI U-17 mechi ya Jana anisaidie
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Natumai uzima upo Wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuachana na huu mchezo wa betting mana nishakuwa adicted natafuta pesa kwa nguvu ila inaishia huko kwnye betting company hata nile kiasi...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition. Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
3 Reactions
162 Replies
21K Views
WATCH LIVE MATCH | Arsenal vs Chelsea (English FA Cup) 27-05-2017 19:30 - 22:30 | WATCH FULL MATCH FREE CLICK HERE TO WHATCH WATCH LIVE MATCH | Arsenal vs Chelsea (English FA Cup) 27-05-2017...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UINGEREZA: Klabu ya Arsenal yatwaa ubingwa wa Kombe la Chama cha Soka nchini humo(FA) baada ya kuifunga Chelsea FC kwa mabao 2 kwa 1. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Alixis Sanchez na Aaron...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nasubiri mapovu..lakini hawa jamaa sio wa kubeza...tusiwashushe kiasi hicho..
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…