Nahodha wa SIMBA SC Jonas Mkude anusurika Kifo Ktk ajali, mmoja afariki dunia

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Leo nahodha wa club ya simba sports club mkude amekunusurika Kifo katika Ajali iliyotokea maeneo ya moro, wakati wakitoka Dodoma baada ya kumaliza mechi yao ya jana dhidi ya Mbao Fc na kushinda ushindi wa magoli mawili dhidi ya moja la Mbao Fc.
 
Pole captain! Ila kaswali kadogo tu ulikuwa unaenda wapi wakati wenzio bado wapo Dodoma? Au ulukua unawahi kusaini jangwani? Pole sana lakini
 
Back
Top Bottom