Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,282
38,359
Leo ndio fainali kombe la ASFC kaa tayari tuwe pamoja
Vikosi vya vitakavyoanza.

Bingwa wa hapa ndio atawakilisha kwenye kombe la Shirikisho Afrika CUF.


bb4da11a9c3b7182267f37f4cc25354c.jpg

409d86755049c79c1d49aecc6ccf5fc2.jpg

Mpira umeanza rasmi
Mbao fc 0-0 Simba
Dak 5. Timu zimeanza kwa kushambuliana kwa zamu.

Dak 11 bado milango ni migumu kwa timu zote.
***********************
MPIRA MAPUMZIKO Simba 0-0 Mbao fc.
*******************
Kipindi cha pili kimeanza.
SIMBA 0-0 MBAO.
***********************************

Dak 90 za awali zimekwisha Simba 0-0 Mbao fc... Tunasubiri Daki 30 za pili.!
************************************
MPIRA umeanza Daki 15 za awali......


Gooooooooooooooooo Daki 95
Simba 1-0 Mbao fc ..... mfungaji Fedrick
***********************************
Dak kumi na tano za awali zimeisha tunasubiri kumi na tano za mwisho.
**********************************

Daki 15 za mwisho zimeanza Simba 1-0 Mbao fc.
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Mbao wanapata bao

Dak 109 Simba 1-1 Mbao fc... mfungaji Ndaki.

Goooooo Simba 2-1 Mbao fc penalti Kichuya.

Mpira umekwisha Simba Bingwa
Simba 2-1 Mbao fc
 
Mavugo anakosa goli la wazi kabisa anapaisha .

Dak 10
 
Back
Top Bottom