Wananchi wa Msimbazi msisahau suala hili.

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,288
15,238
Ningependa tu kuwakumbusha,

Ni kitambo mno tangu muinyanyue tuzo ya Bingwa wa VPL...
Sina uhakika kama mnajua hata uzito (in Kg) wa ndoo ya VPL....

Je mnajua kuwa 2013 sio Leo, Jana wala Juzi. Ni kitambo aisee!

Una safari ndefu aisee! Ni kama ya Arsenal au Liverpool ya pale Uingereza.

Ukiniuliza kitambo yangu nitakuambia ni mwezi huu wa 5 katika kiwanja cha CCM Kirumba Mwanza.

By the way! Hongera kwa hiko kidogo ulichokipata, najua umekipata kwa kuwa mpinzani wako mkuu (Azam FC) Kwenye nafasi hakuwa sawa msimu huu.

Naelewa jinsi ulivyokuwa mkavu wa Mataji, lakini taji dogo hilo haliondoi Ukavu.

Binafsi, sijui ni lini utaondoa huo ukavu wa taji la Ligi Kuu. Maana kwa jinsi nilivyo imara kuanzia msimu ujao, sioni kama nitaachia kirahisi.
 
Yeah msimu ujao ligi itakuwa tough
Ni kweli mkuu!

Ilaara zote inakuwa namna hiyo lakini mwisho wa siku wanaJangwani wanajibebea chao....

Kama unavyoona msimu huu jinsi tulivyokuwa hatuko sawa, ila cha kushangaza tumebeba ndoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom