The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,007
Natumai uzima upo Wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuachana na huu mchezo wa betting mana nishakuwa adicted natafuta pesa kwa nguvu ila inaishia huko kwnye betting company hata nile kiasi gan cha pesa bado nawarudishia taratibu naombeni ushauri nifanyaje kuachana na mchezo huu