Kama naiona Timu ya Mbao ikipanda ndege mwakani

Mbao fc sio wa mchezo mchezo Simba itabidi wanoe sana hizo Chain Saw,hawa jamaa wakikuotea kamoja Wanaomba na vitanda kabsa wanalala golini.

Kesho sio mbali.
Uko sahihi ..mbao bwana hawatabiriki..ni suala la muda tu
 
Jamani mpira bado tu? Tunaomba updates na kama kuna uzi umefunguliwa kwa ajili ya hii mechi tunaomba mods mtuunganishe ili tuendelee kupata matokeo.
 
Back
Top Bottom