hashimrashidy
Senior Member
- Sep 11, 2015
- 197
- 145
UINGEREZA: Klabu ya Arsenal yatwaa ubingwa wa Kombe la Chama cha Soka nchini humo(FA) baada ya kuifunga Chelsea FC kwa mabao 2 kwa 1.
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Alixis Sanchez na Aaron Ramsey huku lile la Chaslea likifungwa na Diego Costa.
Mkufunzi wa Arsenal ametaja ukosoaji ambao amekuwa akipata msimu huu kuwa hujuma ambayo hatosahau.
Raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 67 amekabaliwa na shutuma kali kutoka kwa mashabiki kwa kumtaka kuondoka katika klabu hiyo ambayo ameingoza tangu 1996.
''Sijali ukosoaji kwa sababu tunafanya kazi ya umma'', aliambia BBC kabla ya mechi ya fainali kati ya Arsenal na Chelsea katika uwanja wa Wembley.
''Ninaamini kuna tofauti kati ya kukosolewa na kuchukuliwa hali ambayo hairuhusu kwa mwanadamu''.
Image captionMashabiki wakimtaka Arsene Wenger kuondoka Arsenal kutokana na msururu wa matokeo mabaya msimu huu
Aliongezea: Utovu wa heshima kutoka kwa baadhi umekuwa hujuma na sitokubali.Sitosahau.Tabia ya baadhi ya watu msimu huu, ndio kitu kinachoniuma sana. Sio mtu wangu ambaye ameathiriwa lakini sura ya klabu hii duniani.Tabia hiyo haionyeshi tabia ya Arsenal.
''Klabu kilichoimarika ni kile kinafanya maamuzi .
Ni makosa kwamba katika kizazi kipya sio swali la iwapo uamuzi ni sawa lakini iwapo ni maarufu.Hilo halifai kufananishwa na uwezo wa mtu.Watu wenye majukumu lazima wafanye uamuzi wa sawa''.
=======
Arsenal ended a season of frustration and uncertainty with FA Cup glory, denying 10-man Chelsea the double as beleaguered Arsene Wenger became the most successful manager in the competition's history.
Having stumbled home fifth and missed out on Champions League qualification, criticism of the Gunners boss has reached unprecedented and unpalatable levels.
Wenger has continued undeterred and, ahead of talks about his future next week, oversaw a record seventh FA Cup triumph on Saturday, with Aaron Ramsey securing a memorable 2-1 win moments after Chelsea's Diego Costa had cancelled out Alexis Sanchez's controversial strike.