Safari ya matumaini ya Manchester United imefika ukingoni.

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,409
3,028
safari ya matumaini ya timu mbovu ya man utd inafikia ukongoni leo kwani celta vigo watashinda 2-0 na kuiacha man u ikikosa nafasi ya kuingia fainali.

Jana imeshushwa hadi nafasi ya 6 baada ya arsenal kushinda na kupata pointi 3 muhimu.

Hivyo safari ya matumaini ya man utd kushiriki uefa inahitimishwa leo. Huu ni ukweli ambao ni mchungu.
 
utunze kumbukumbu lakin, baada ya mechi kuisha tukutane ili tuone kama mganga wako kakutabiria vema au kakudanganya
 
Kawaida yenu,tukishinda leo mtasema safari yenu itaishi fainali ajax atashinda, tusha wazoea, Sie ni makombe tuu,24 May tunabeba europa tunaxubir Uefa Super Cup,GG Man United.
 
Kaka hata mimi ramli imembia hivo na mpira ukiisha huu uzi utavamiwa huwezi amini. Jaman ndumba ipo ikithibitika ntafuteni nikuibieni.
 
Kawaida yenu,tukishinda leo mtasema safari yenu itaishi fainali ajax atashinda, tusha wazoea, Sie ni makombe tuu,24 May tunabeba europa tunaxubir Uefa Super Cup,GG Man United.
Mnasubiria Uefa super cup kupambana na Juventus?
 
Celta vigo pale machinjioni OT anakojoa damu..!! Yaani km tutamfunga chache ni goli 2. Piga ua hili kombe kuchukua ni lazima hakuna ramli hapa!!
 
tangu Ferguson kaondoka Man united imekuwa na matokeo mabaya lakini ni msimu ilio kosa taji,sidhani kama hao watop four wana record hii
 
Naweka dau la 70000. Na ww funga 70000. Baadae urudi hapa uje utuambie huyo mganga wako aliekudanganya yuko wapi
 
Back
Top Bottom