La var ball ndo nani?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,230
116,848
Kuna mtu anaweza nieleza la var ball ni nani?

anahusika na nini hasa?

watoto wake wako wangapi?

why ana umaarufu?

whats so special about him na his family?

nimesikia kuna kiatu wanatoa wauze dollar 400

nikazidi kujiuliza kwani huyu mtu ana nini special?

Nyani Ngabu BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Angalia hii video. Inaweza kukusaidia kumjua.

Ana watoto watatu.

Angalia na hii akihojiwa na Skip Bayless wa FS1's Undisputed.

He is a big mouth.

Na kwa spindi anayoenda atakuja kuwaharibia wanawe, hususan Lonzo Ball....

Nilishangaa aliposema wanatoa kiatu chao
kumbe huyo mwanae hata NBA hajafika bado
nilishangaa sana

eti kiatu kitaanza dola 400
 
Ila naona hawakufanya vibaya kwenye mauzo yao ukizingatia wapo 'independent'.

Ni dola 495!

Na kilichotiwa sahihi yao [sina uhakika kama ni ya LaVar au Lonzo] ni dola 995!

Kiatu chenyewe hiki hapa...Big Baller Brand [BBB]

big-baller-brand-sneakers-01-320x213.jpg

Here's how many pairs of $495 sneakers LaVar, Lonzo Ball reportedly sold so far
 
Nafikiri tusubiri tuone ...
sababu a lot inategemea na NBA..
kama watoto watafika na ku shine NBA..
vinginevyo sioni how watauza..
wasije kuwa 15 minutes of fame tu
 
Mzazi mmoja ambaye mwanae ni mchezaji mzuri wa Basketball. Mwaka huu kijana kaamua naye kuingia kwenye NBA Draft lakini kutokana na huyo mzazi kusema hovyo kwa kumsifia sana mwanae kwamba ni mzuri kama mchezaji kuliko huyu au yule na pia kuja na raba mtoni ya mwanae inayouzwa kwa $450 kama sikosei timu nyingi zinaelekea kumkwepa huyu kijana na si ajabu ikaharibu marketing value yake badala ya kuwa drafted among the top 3 akashuka na si ajabu kutokuwemo hata kwenye top 5. Kusema kweli hana umaarufu kiasi hicho na kusema kwake hovyo anamuharibia na mwanae.

Kuna mtu anaweza nieleza la var ball ni nani?

anahusika na nini hasa?

watoto wake wako wangapi?

why ana umaarufu?

whats so special about him na his family?

nimesikia kuna kiatu wanatoa wauze dollar 400

nikazidi kujiuliza kwani huyu mtu ana nini special?

Nyani Ngabu BAK
 
the boss unakosa mengi sana..

Nyani Ngabu uliangalia march madness UCLA vs Kentuky jinsi huyo lonzo ball wanaemsifia alivyobanwa...

Lavar anafurahisha sana nachompenda anajiamini sana

anadai hata jordan hamuwezi yeye kwenye one on one... charles bakley akamwambia anataka nae mechi na lavar one on one.. jamaa kaingia mitini..

I am sure Lakers chini ya magic johnson watamdraft lonzo with second pick... maana hawana jinsi...

ila ikitokea lakers wakim pass lonzo.. lavar ataaibika sana
 
Jamaa anang'ang'ania eti Lonzo lazima aende Lakers.

Sasa sielewi kama Lakers wasipom-draft atafanyaje!

Anywho, we shall see.
 
jamaa anataka wanae wakae los angeles tu.. wasiwe nje ya california... kawasainisha wote chuo wacheze UCLA.. hadi mdogo wa mwishoo...

na hata nba anataka wacheze lakers tu wabaki los angeles

Jamaa anang'ang'ania eti Lonzo lazima aende Lakers.

Sasa sielewi kama Lakers wasipom-draft atafanyaje!

Anywho, we shall see.
 
huyu lavar ni chizi sana.. timu ya mwanae imefungwa na kutolewa.. kwa kumtetea kalaumu wazungu ndio sababu ya UCLA kutolewa...

cha kushangaza bingwa University of North calorina imebebwa na wachezaji wazungu...

Nachoshangaa why media zinampa airtime sana

ESPN wanamhoji utakuta upuuzi tu anaongea
alipom diss kobe nilishangaa sana
 
Ndiyo matatizo ya kuongea kwa kukurupuka. Wengi wanadhani Magic Johnson & Lakers hawatamchagua mwanae. Celtics wanachagua namba moja na wameshadai hawana time naye mwanae na Lakers wanachagua namba mbili sijui kama wana mpango na huyu. Halafu huyo mwanae si mkali kihivyo ni mchezaji wa kawaida sana ukimlinganisha na superstars mbali mbali ambao waliwahi kuvuma kwenye College Basketball.

huyu lavar ni chizi sana.. timu ya mwanae imefungwa na kutolewa.. kwa kumtetea kalaumu wazungu ndio sababu ya UCLA kutolewa...

cha kushangaza bingwa University of North calorina imebebwa na wachezaji wazungu...
 
Nachoshangaa why media zinampa airtime sana

ESPN wanamhoji utakuta upuuzi tu anaongea
alipom diss kobe nilishangaa sana

Huwa anahojiwa zaidi na FS1 kwa sababu wanarusha matangazo yao mengi kutoka Los Angeles ambapo ndo makao makuu yake [hao FS1].

Kwa ajili ya ukaribu huo [maana na yeye anaishi huko huko L.A.] mara nyingi ni in-studio guest wa programs zao hususan show ya Undisputed na ile ya Colin Cowherd.

Majuzi hapa alikuwa mgeni kwenye show ya Colin na akarushiana maneno na co-host wa hiyo show, Kristine Leahy.

Binafsi sikufurahishwa naye kabisa. Attitude yake ni mbaya na haitamfikisha popote pale zaidi ya kupata hizi 15 minutes of fame.

Hebu ona hapo kwenye hiyo video....

Wanawe wasipo shine ataumbuka saana
 
Back
Top Bottom