Mabingwa wa Kombe la Shirikisho, Simba SC watinga bungeni

Majs

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
232
497
Habari waungwana,

Leo bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limepata ugeni mwingine wa wanamichezo, klabu ya Simba SC imehudhuria kama wageni katika kipindi cha asubuhi.

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga walitembelea bungeni Mei 25 ikiwa ni ziara ya kutembeza kombe lao walilotwaa. Picha za leo zitafata.
=====

Timu ya Simba leo hii imezuru Bunge la Tanzania mjini Dodoma kufuatia mwaliko walioupata.

Wabunge wengi ambao ni wapenzi wa Simba walionyesha furaha yao kwa timu hiyo kushinda ubingwa wa FA.

Wabunge pia walitoa salam za rambirambi kutokana na kifo cha mpenzi kindakindaki wa Simba Shose kilichotokea jana kwa ajali ya gari.

Tunaendelea kumwombea Shose alale mahali pema peponi.

tmp_6952-Screenshot_20170530-073928_011414057763.png
 
Habari waungwana,

Leo bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limepata ugeni mwingine wa wanamichezo, klabu ya Simba SC imehudhuria kama wageni katika kipindi cha asubuhi.

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga walitembelea bungeni Mei 25 ikiwa ni ziara ya kutembeza kombe lao walilotwaa. Picha za leo zitafata.
Picha tunataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom