Maana ya Nembo mbalimbali kwenye jezi za Timu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Ukiangalia jezi za Timu mbalimbali kuna nembo zinaweza kuwa za wadhamini wao au kutangaza biashara zao binafsi.

Tuangalie Nembo hizo na Maana yake japo nyingine ni ngumu ila naimani hapa hakishindikani kitu.

BWIN-Nasikia hii ni kampuni ya wacheza kamari maarufu sana Real madridi,Ac milan wameshavaa nembo hii

YOKOHAMA-Hawa watengenezaji Matairi maarufu,Chelsea wana Nembo yao.

NMB-Nation microfinance bank,wadhamini wa Azam fc

Quality group-Yanga wakivaa nembo hii sijajua haswa wanahusika na nini

Fly Emirates-Shirika la Ndege Arsenal wakivaa nembo yao
1495957953465.png

Etihad-kama sikosei nao ni
1495957969340.png
shirika la Ndege Mancity wakivaa nembo hii.

Sportpesa-Michezo ya kubahatisha,Hull city,Yanga,Simba wakivaa nembo hii.

Tuendelee kujuzana maana ya nembo mbalimbali kwenye jezi za timu.Karibuni
 
King power-leicester
Tera mitika-valencia
Toyota-fiorentina
Dreamcast-arsenal
Sun-leeds
Ubuntu-mamelodi sundowns etc
 
King power,Tera mitika wanahusika na nini hawa?
 
Chevrolet..magari (MAN U)

Standard Chartered...Bank (Liverpool)

Jeep..Magari (Juventus)
 
Back
Top Bottom