Tunaombeni updates za kombe la FA huko Dodoma

Wale mlio dodoma uwanjani au mliopo kwenye tv tunaomba updates
Half time now,
Bunge 1 - 1 Azam Media
Goli laa Azam Media kafunga Baruan Muhuza,
Goli la Bunge kafunga Yusuph Gogo kwa Njia ya Adhabu iliyoenda direct golini
 
Msijali kwa kuwa nipo Dodoma nitaleta matangazo moja kwa moja bila kupendelea kwasababu Mimi sio mshabiki wa timu yoyote ya kabumbu.
 
Dakika ya 41 kipindi cha pili Yusuph Gogo anaiandikia Bunge FC goli la 2,
Bunge 2 - 1 Azam Media
 
Kikosi kamili cha Simba leo...

1.Daniel Agyei
2.Besala Bukungu
3.Mohammed TShabalala
4.James Kotei
5.Juuko Murshid
6.Jonas Mkude
7.Shiza Kichuya
8.Mzamiru Yassin
9.Laudit Mavugo
10.Said Ndemla
11.Juma Luizio
AKIBA:
1.Dennis Richard
2.Vincent Costa
3. Abdi Banda
4.Mwinyi Kazimoto
5. Ibrahim Ajibu
6.Frederic Blagnon

7.Moses Kitandu
 
Dk 10, Simba wanapoteza nafasi nzuri kabisa baada ya kubaki karibu na lango la shuti lake linatoka juuu
Dk 7, mpira wa adhabu, Mavugo anajaribu kuachia shuti lakini Kwassi Asante anawahi na kuokoa
Dk 4 shuti kali, Agyei anatema lakini Swita karibu kabisa na lango anapaisha
Dk 3 Kipa Mbao FC anatoka na kuuwahi mpira mbele ya Mavugo hapa
Dk 3 Mohamed Zimbwe anajichanganya hapa lakini kipa anafanya kazi ya kuokoa kwa miguu
Dk 1, mpira umeanza, Mavugo anaubutua nje kule na Simba wanasogea karibu na lango la Mbao FC
 
Dk 14, Kipa Haule wa Mbao anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira wa kona wa Kichuya
Dk 13, Simba wanaingia vizuri hapa, Kichuya anakwenda lakini mwambeleko anatoa na kuwa kona ya kwanza
Dk 12, Bukungu anajaribu shuti kali umbali wa mita 50, lakini goal kick
 
Simba 3-0 Mbao Mpodo FC
277b7b928acbe197f6b20933821224f2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom