Kwa ninavyowaelewa watanzania, si ajabu Malinzi akachaguliwa tena

Allan Clement

Verified Member
Aug 14, 2013
1,909
2,000
wote tunajua jinsi watanzania tulivyo inapofika wakati wa uchaguzi...
Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA kipindi cha malinzi,
kesi ya pointi tatu tu imechukua miezi kuisha kipindi cha malinzi,.
Ratiba ya ligi imekuwa mtihani mwingine unaomshinda Malinzi, Na ubovu mwingine ambao kila mtu anaujua unaofifisha soka letu..
pamoja Na udhaifu huu Na kuonyesha wazi kuwa Malinzi amefeli bado sitashangaa kuona akichaguliwa tena

1.Malinzi tayari ameshatengeneza mtandao wa kumlinda..
2.Malinzi tayari ana pesa Na elewa kuna watu wakipewa hata 10,000 wanaweza kufanya maamuzi ya ajabu..
3.hakuna fair kwenye chaguzi hizi za tff kama zilivyo kamati zao.

ndo ivyo.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,066
2,000
Nasisitiza [HASHTAG]#malinziout[/HASHTAG] mwaka huu... Save this comment!!
 
Ngongongare

Member
Jan 16, 2014
48
95
Kam ulikuwa hujui katika soccer uku TFF uchaguzi ulikwisha rasmi pale tu zilipoisha chaguzi za vyama vya mikoa ndio maana ulikuwa unaona watu wenye weledi wanawekwa pembeni bila sababu za msingi lengo ni kuweka watu ambao wanakuja kukuakikishia unarudi katika uchaguzi so kwa sasa ni too late kumpinga Malinzi maana uchaguzi ushakwisha zimebaki Formality tu za kuchukua fomu,kurudisha,mapingamizi and so fourt but mahindi tayari alishajitengenezea mazingira au kama vile kujiwekea pasi ya kichwa.POLENI WANAMABADILIKO huu ni ukweli mchungu ata mimi naumia sana maana najua tusitegemee jipya tena kutoka kwa Rais yuleyule wa TFF
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
15,236

Mapya na mazuri aliyoyaanzisha yapo mengi sana,tatizo kubwa watanzania unataka upande leo na uvune kesho hilo hakuna Duniani labda ziwe mbegu za GMO na Malinzi hataki hili. Anachokihangaikia Malinzi ni kuweka solid ground kwa vijana ambapo matokeo yake yatakuwa ni long run tofauti na nyie mnang'ang'ania matokeo ya Taifa Stars pekee ambapo hata huko maefanya kila aliwezalo ikiwa ni pamoja na kuleta makocha wa nje na wazawa,posho nzuri,kambi nzuri ya nje na ndani ya nchi,wadhamini wakutosha,offer mbalimbali kwa timu ikishinda,kwa mara ya kwanza kocha mzawa kulipwa mshahara unaokaribia na makocha wakigeni sasa sijui kwa haya yote aliyoyafanya na timu bado haifanyi vuzuri sijui mlitaka na yeye aingie uwanjani acheze. Au mnamkata Mayai ili timu ikifikia stage hii awe anaingia uwanjani na kucheza?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
poa tu

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,174
2,000
wote tunajua jinsi watanzania tulivyo inapofika wakati wa uchaguzi...
Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA kipindi cha malinzi,
kesi ya pointi tatu tu imechukua miezi kuisha kipindi cha malinzi,.
Ratiba ya ligi imekuwa mtihani mwingine unaomshinda Malinzi, Na ubovu mwingine ambao kila mtu anaujua unaofifisha soka letu..
pamoja Na udhaifu huu Na kuonyesha wazi kuwa Malinzi amefeli bado sitashangaa kuona akichaguliwa tena

1.Malinzi tayari ameshatengeneza mtandao wa kumlinda..
2.Malinzi tayari ana pesa Na elewa kuna watu wakipewa hata 10,000 wanaweza kufanya maamuzi ya ajabu..
3.hakuna fair kwenye chaguzi hizi za tff kama zilivyo kamati zao.

ndo ivyo.
Usituzingizie, WATANZANIA hatuchagui rais wa TFF.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,548

KAMWAMBIE ALIEKUTUMAAAA MALINZI RAISI AJAYE HUAMINI TUKUTANE USIKU WA JAMAL.MALINZI ..........

2--NDUGUU SWALA LA HELA SIO JAMAL MALINZI

UKOO WA MALINZI HAUJUI SHIDA UNAZOHISI MKUUU.....NA ANA HELA KABLA AJAWA RAISI WA TFF..SUBIRI UONE MWENYE NACHO ANAONGEZEWA WAMBI WALIOKUTUMA WATAFUTEKWANZA WAKIWA NACHO WAJETHBUTU KUJARIBU KUGOMBEA
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,548
2,000
Mapya na mazuri aliyoyaanzisha yapo mengi sana,tatizo kubwa watanzania unataka upande leo na uvune kesho hilo hakuna Duniani labda ziwe mbegu za GMO na Malinzi hataki hili. Anachokihangaikia Malinzi ni kuweka solid ground kwa vijana ambapo matokeo yake yatakuwa ni long run tofauti na nyie mnang'ang'ania matokeo ya Taifa Stars pekee ambapo hata huko maefanya kila aliwezalo ikiwa ni pamoja na kuleta makocha wa nje na wazawa,posho nzuri,kambi nzuri ya nje na ndani ya nchi,wadhamini wakutosha,offer mbalimbali kwa timu ikishinda,kwa mara ya kwanza kocha mzawa kulipwa mshahara unaokaribia na makocha wakigeni sasa sijui kwa haya yote aliyoyafanya na timu bado haifanyi vuzuri sijui mlitaka na yeye aingie uwanjani acheze. Au mnamkata Mayai ili timu ikifikia stage hii awe anaingia uwanjani na kucheza?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app

Wacheza rede awajaona matunda ya serengeti . Loh angepeleka BALIIMI BOYS SI MNGEFUTA NA UCHAGUZI KABISA MUMPE MIAKA KUMI MINGINE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom