Nataka 110/=, Chukua 70/=, nipeni 100/= basi, Chukua 70/= bhana. Sisaini.

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,680
2,000
Haya mambo ya usajili bhana. Huyu Jamaa ameshajiona ndio Mkubwa kuliko klabu ya wale wapigaji.

Na ameshajua kuwa huku bongo akikohoa tu, watu wanachanganyikiwa juu yake!

Ndio ubaya wa mchezaji kuonyeshwa kuwa ni lulu kuliko wachezaji wote waliowahi kupita klabuni pale.

Kaambiwa anataka Ngapi, kasema 110/- mil.

Wapigaji wakasema chukua 70/- ambazo tulitaka tumpe migomba.

Akasema nipeni 100/- basi.

Wakajibu Chukua 70/-

Sasa akasema basi nipeni 80, Nyumba (self contained) Posta. Salary M5 monthly, Gari safi ya kusafiria (Brevis).

Je watakataa? wakikataa ni aibu kwa mashabiki na wapenzi wao.

Tuone itakuwaje...Ameshatamka yake Twitani kule.
 

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,711
2,000
Atasaini tu. Ni suala la muda. Kwa taarifa yako Huyo jamaa anaamini ana bahati na klabu yake hii. Ndio maana kila akicheka anarudi hapa kujipanga upya na anafanikiwa.
110m ndio thamani yake hawezi kuwa sawa na yule kidoti asiyejitambua. Kifupi kidoti keshasaafu tukane 2019 akipelekwa kwa mkopo Ndanda au Stand United
 

gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,948
2,000
Kweli wajinga ndio waliwao, hilo galasa ndio linathaminishwa hela yote hiyo?
 

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,680
2,000
Atasaini tu. Ni suala la muda. Kwa taarifa yako Huyo jamaa anaamini ana bahati na klabu yake hii. Ndio maana kila akicheka anarudi hapa kujipanga upya na anafanikiwa.
110m ndio thamani yake hawezi kuwa sawa na yule kidoti asiyejitambua. Kifupi kidoti keshasaafu tukane 2019 akipelekwa kwa mkopo Ndanda au Stand United
Sio nyinyi mliyekuw mna shangaa kwann CHIRWA kanunuliwa Mil 100?
 

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,680
2,000
Kwa okwi mbona ametaja dau dogo hivyo??

Huyu ana thamani mpaka 250M
Sasa OKWI akitaka dau hilo then watu kama akina Niyonzima, KAMUSOKO, Msuva itakuwaje...?

Huyo jamaa kacheza VPL 4 season kabeba Ndoo 1 tu.

Hakuwahi kuwa hata top scorer!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom