FIFA yakubali pendekezo la Afrika kupeleka timu 9 Kombe la Dunia

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,686
3,992
1024x576_362001.jpg

Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA) imekubaliana na pendekezo la kuongeza idadi ya timu zinazocheza Kombe la Dunia hadi kufikia timu 48.

Rais wa Fifa, Gianni Infantino na Marais wa Mashirikisho ya mpira sita ambayo ni wanachama wa FIFA walikubaliana katika mkutano uliofanyika Alhamisi jijini Zurich.

Pendekezo hilo litawasilishwa ili kuidhinishwa na Baraza la FIFA ambalo litafanya mkutano tarehe 9 Mei eneo la Manama, Bahrain siku mbili kabla ya Kongamano la 67 la FIFA.

Likiidhinishwa, Afrika (CAF) itapata nafasi nne zaidi ya tano walizonazo sasa katika michuano hiyo na itaanza kufanya kazi katika michuano ya 2026.

Michuano hiyo itakayokuwa na nafasi 48, itakuwa na nafasi 46 za moja kwa moja na mbili zitakazoamuliwa baada ya pambano baina ya timu sita(6) ambapo 5 zitatoka kila moja ktk Mashirikisho isipokuwa UEFA na timu moja kutoka Shirikisho la timu mwenyeji.

Zifuatazo ni nafasi pendekezwa za moja kwa moja kwa kila Shirikisho:

Confederation of African Football (CAF) – 9
Asian Football Confederation (AFC) – 8
North, Central American and Caribbean Football Confederation (CONCACAF) – 6
South American Football Confederation (CONMEBOL) – 6
Oceania Football Confederation (OFC) – 1
Union of European Football Associations (UEFA) – 16
 
Habari nzuri kwa Africa, naona imetunafaisha Waafrika zaidi kwa nyongeza ya nafasi nne. Naona Giani Infantino amedhamiria kuiweka Afrika kwenye mipango yake.

ni muhimu kwa CAF walau kupanga makundi kutokana na maeneo(
Regional Zone) maana wakifanya ile seeding yao ya kila kundi kuwa na timu mmoja bora,hizi nafasi tisa zote zitakwenda Africa Magharibi na Kaskazini.
 
Naamini Rais wa CAF wa sasa atabadili huo mfumo wa kuwabeba Waarabu na hao wa Magharibi.
 
View attachment 489082

k
 
Sipati picha kama na zenji wakipewa namba ya usajili FIFA afu siku hiyo zinakutana , sijui zenji watapiga
wimbo gani wa Taifa, nawaza tu kwa herufi kubwa.
 
Habari nzuri kwa Africa, naona imetunafaisha Waafrika zaidi kwa nyongeza ya nafasi nne. Naona Giani Infantino amedhamiria kuiweka Afrika kwenye mipango yake.

ni muhimu kwa CAF walau kupanga makundi kutokana na maeneo(
Regional Zone) maana wakifanya ile seeding yao ya kila kundi kuwa na timu mmoja bora,hizi nafasi tisa zote zitakwenda Africa Magharibi na Kaskazini.
Haina msaada hata tungepewa timu 15 timu za Africa mbovu sana tangu kombe la dunia kuanzishwa 1938 Africa haijawahi kunusa nusu fainali Timu zijipange vizuri
 
Toka lini mkuu Znz wana wimbo wa taifa.? Tafadhari naomba utupie huo wimbo wa Taifa wa zenji niusikie japo biti lake tu lilivyo. . .maana nisije kuweka wimbo wa WAPO nikidhani ndo wimbo Mpya wa taifa la zenji.
 
Habari nzuri kwa Africa, naona imetunafaisha Waafrika zaidi kwa nyongeza ya nafasi nne. Naona Giani Infantino amedhamiria kuiweka Afrika kwenye mipango yake.

ni muhimu kwa CAF walau kupanga makundi kutokana na maeneo(
Regional Zone) maana wakifanya ile seeding yao ya kila kundi kuwa na timu mmoja bora,hizi nafasi tisa zote zitakwenda Africa Magharibi na Kaskazini.
So unapendekeza special Seat kwa afrika mashariko,
Wacha tupambane ili ukienda huko unakia competent,iwe west or north ni Afrika tu
 
Toka lini mkuu Znz wana wimbo wa taifa.? Tafadhari naomba utupie huo wimbo wa Taifa wa zenji niusikie japo biti lake tu lilivyo. . .maana nisije kuweka wimbo wa WAPO nikidhani ndo wimbo Mpya wa taifa la zenji.
Wanao,kama kuna mtu atarusha
 
Toka lini mkuu Znz wana wimbo wa taifa.? Tafadhari naomba utupie huo wimbo wa Taifa wa zenji niusikie japo biti lake tu lilivyo. . .maana nisije kuweka wimbo wa WAPO nikidhani ndo wimbo Mpya wa taifa la zenji.
Screenshot_20170402-190423.png
 
Toka lini mkuu Znz wana wimbo wa taifa.? Tafadhari naomba utupie huo wimbo wa Taifa wa zenji niusikie japo biti lake tu lilivyo. . .maana nisije kuweka wimbo wa WAPO nikidhani ndo wimbo Mpya wa taifa la zenji.
Upo You Tube siwez kuupakua na kuuweka hapa
 
So unapendekeza special Seat kwa afrika mashariko, Wacha tupambane ili ukienda huko unakia competent,iwe west or north ni Afrika tu

Hapo nakubaliana na wewe. Isiwe mambo ya England kupangagwa na San Marino, sijui Malta na nn halaf anashinda goli mpaka 6 lakini kwenye WC anakuwa nyanya kila mara. Nadhani ni vzr kupata wawakilishi walio bora bila kujali sub regions zetu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Daaa JF naanza kuiona kama Google vile..yani ni search engine yenye kajibu mambo mengi. Hapa wengi tumepata somo
[UOTE="mjasiliaupeo, post: 20472849, member: 137839"]Huo hapo, uchukue wote nakuachia.
[/QUOTE]
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom