Abdul Kipenga ni nani?

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,938
2,000
Wadau, nampenda sana huyu jamaa Abdul Kipenga ambaye huwa anashiriki kwenye Sports kizaazaa ya ITV. Anaongea kwa kujiamini na anatoa points za maana sana kuhusu michezo. Mwenye taarifa zake anijuze,inaonekana anajua vitu vingi sana kuhusu michezo. Ni kiongozi wa chama chochote cha michezo au ndo wale wanaoshinda kwenye vibaraza vya kahawa mjini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,938
2,000
Yule ni utumbo kabisa na wewe utakuwa na akili mbovu kama zake.

Duuuh! Kama yule jamaa ni utumbo sijui wale wenzake itakuwaje! Na kuna yule mama mtu mzima mweusi naye sijui anaitwaje, huwa anatoa mawe ya ukweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
N-handsome

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,451
2,000
Nenda TCC club Chang'ombe kaunta utakutana nae. Ukisikia makomandoo(njaa kali) wa mpira ndio hao
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,537
2,000
Ha ha ha.. Kipenga kula yake inategemea kuongea.. Aliwahi kucheza mpira kama golkipa but hakuwa na kiwango.. Alijaribu sigara pale.. Baadae akawa anatumia mdomo kula.. Kuna wakati alikuwa anatembea na mama mmoja aliekuwa anaendesha bar moja iko temeke inaitwa Pille Bar.. Akawa anacitiriwa pale.. Kuna katajiri katoto fulani kamwarabu anaitwa Muddy Mas.. ndo akampa ajira ya kuchapisha namba kwenye jezi ambazo yeye Muddy alikuwa analeta toka nje.. Kuna wakati yeye (Kipenga) alkuwa anakaa kwenye nyumba moja ya Muddy pale Chang'ombe..
 
Shukrani sana mkubwa wa kazi. Ila kiukweli huyu jamaa anatumia mdomo kula kweli hilo halina ubishi kwasababu anamaneno mengi sana na kuna wakati huwa najiuliza kwanini asingekuwa mwanasiasa? Huwa anakichangamsha kipindi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
2,000
Mwiba kwa viongonzi wa michezo ambao wana mkwepa kumwita angalau kumpa kahawa. Huwa akipata point ya kusimamia hata kwa crane umtoi.
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,938
2,000
Mwiba kwa viongonzi wa michezo ambao wana mkwepa kumwita angalau kumpa kahawa. Huwa akipata point ya kusimamia hata kwa crane umtoi.

Hicho ndo kitu ninachompendea yule jamaa ndo maana nikaamua kumuulizia ili nijue anajishughulisha na nini hapa mjini kwa sasa. Leo mchana nilikuwa naangalia kipindi chao akadai chama cha mpira cha Temeke kinachoitwa TEFA (kama sijakosea) katiba yao inasema kiongozi anatakiwa awe na elimu ya Form iv au elimu mbadala, akahoji hiyo elimu mbadala ndo ipi hiyo? Mganga wa kienyeji au? Jamaa mtata sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,938
2,000
aliwahi kudakia Twiga Stars.

Bila shaka utakuwa ni mmoja wa viongozi wa vyama vya michezo wanaosakamwa kila week na kina Kipenga na wenzake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hacena

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
619
250
Hicho ndo kitu ninachompendea yule jamaa ndo maana nikaamua kumuulizia ili nijue anajishughulisha na nini hapa mjini kwa sasa. Leo mchana nilikuwa naangalia kipindi chao akadai chama cha mpira cha Temeke kinachoitwa TEFA (kama sijakosea) katiba yao inasema kiongozi anatakiwa awe na elimu ya Form iv au elimu mbadala, akahoji hiyo elimu mbadala ndo ipi hiyo? Mganga wa kienyeji au? Jamaa mtata sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
elimu mbadala ya f4 inajumu
isha private candidate ni suala la kisheria katika tafsiiri
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,480
2,000
Bila shaka utakuwa ni mmoja wa viongozi wa vyama vya michezo wanaosakamwa kila week na kina Kipenga na wenzake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hawa wapuuzi muwe mnaulizana huko kwenye inbox zenu.
Sio mnakuja kujaza thread tu humu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom