Tusaidiane kupanga kikosi cha simba msimu ujao.

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,282
2,000
Kulingana na ubora wa wachezaji waliosajili, waliopo na hata wale ambao kuna uwezekano mkubwa wa kusajili naomba tusaidiane hapa ili tuone ni kwa namna gani timu hii kongwe hapa nchini inaweza ikafanya vizuri zaidi katika mashindano mbalimbali ambayo itashiriki.
Kikosi changu Mimi ni hiki;
1.Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3.Mohamedi Zimbwe
4.James Kotei
5.Juuko Murshid
6.Jonas Mkude
7.Shiza Kichuya
8.Mzamiru Yasini
9.John Bocco
10.Haruna Niyonzima
11.Emmanuel Okwi.

Sub
1.Manyika Jr
2.Abdi banda
3.Besala Bokungu
4.Saidi Ndemla
5.Mohamedi Ibrahimu

6.Frederick Blagnon

Note; unaruhusiwa kukikosoa kikosi na kumuweka benchi mchezaji yeyote kwa mtazamo wako kadri unavyoona inafaa.
 

Twamo

JF-Expert Member
May 27, 2017
2,005
2,000
Majina makubwa tu hayo mkikutana na vitimu kama mbao mnaanza kuhonga makipa na marefarii! Viwango vya wachezaji katika ligi yetu vinakaribiana kama sio
kulingana kabisa. Kinacholeta ushindi zaidi ni mipango ya nje ya uwanja! Haina maana unasajili kwa mamilioni ya pesa afu unakuja kushinda kwa mipango! Bora azam sasa wamejitambua!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom