Simba na Yanga:- Usajiri wa wachezaji huzingatia matakwa ya kocha au jeuri ya PESA?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,158
2,000
Wakuu, ninasangaa sana hasa wapenzi wa timu hizi wanapomlilia mtu mmoja hasa katika masuala ya usajiri wa wachezaji. Najiuliza vilabu hivi huwa wanasajiri wachezaji kutokana na mahitaji ya kocha au jeuri ya pesa toka kwa huyo mtu wanaemlilia? Amkeni.
 

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,951
2,000
Soka la Bongo ndio lilivyo sio SIMBA na Yanga tu mwaka kuna Azam, Kagera Sugar na Singida United zote zinasajili tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom