Fundi Niyonzima sasa rasmi Simba SC, hongera mtani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,590
2,000
haruna-niyonzima_nnl3mn7ndsd11fsiur0nx4723.jpg

Habari iliyovunjikavunjika ninayoweza kuwapeni kwa sasa.

Haruna Niyonzima amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba. Yanga wameshindwa kumshawishi Niyonzima abaki kwa kuwa fedha aliyoitaka wameshindwa kumpa.

======TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Katibu Mkuu Boniface Mkwasa inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga juu Mchezaji raia wa Rwanda Haruna Niyonzima ambaye amekua Mchezaji wetu kwa misimu 6 mfululizo katika kiwango cha juu.

Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba mpaka mwezi Julai na Yanga Sc, lakini hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao kwani hatukuweza kufikia mwafaka katika mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu kuwa na nia za kuendelea nae kwa misimu miwili ijayo.

Klabu inamtakia kila la kheri katika maisha yake na soka kwa ujumla.

Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo
Young Africans Sports club.
21-06-2017.
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,420

Jiwe walilolikataa waashi...............
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,128
2,000
Kachoka kupanda ndege? Lakini Simba kwa habari za uongo na kweli hawajambo, maana tangu 'Barua ya FIFA' kutumwa kwa DHL bado akili zao hazijakaa sawa
 
makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
1,677
2,000
Inamaana Gazeti la dimba walitudanganya kwamba bin kheb ameshamaliza kila kitu? Pumb*vu zao
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,106
2,000

Habari iliyovunjikavunjika ninayoweza kuwapeni kwa sasa.

Haruna Niyonzima amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba. Yanga wameshindwa kumshawishi Niyonzima abaki kwa kuwa fedha aliyoitaka wameshindwa kumpa.

======TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Katibu Mkuu Boniface Mkwasa inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga juu Mchezaji raia wa Rwanda Haruna Niyonzima ambaye amekua Mchezaji wetu kwa misimu 6 mfululizo katika kiwango cha juu.

Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba mpaka mwezi Julai na Yanga Sc, lakini hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao kwani hatukuweza kufikia mwafaka katika mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu kuwa na nia za kuendelea nae kwa misimu miwili ijayo.

Klabu inamtakia kila la kheri katika maisha yake na soka kwa ujumla.

Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo
Young Africans Sports club.
21-06-2017.

Kama habari hizi ni za kweli ni jambo jema...Huyu Niyonzima aende tu Simba...aende huko akafanye biashara kama alivyosema mwenyewe kuwa yeye ni mfanyabiashara....
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
14,418
2,000
Chirwa naye ameandika barua ya kuomba kuvunja mkataba, Ngoma haeleweki tangu katikati ya msimu, Tambwe eti naye anataka 80M ili asaini, daah hawa mapro hawana shukrani
 
dickchiller

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,087
2,000
Nilipenda mkwasa aliposema mwenye kutaka kaondoka haende wakati umefika wanayanga mpira ni biashara tuombe wazee wa mahakamani na mzee akilimali watuongoze hapa tulipo maana timu ikiwa vizuri yetu ikiyumba hata wa mahakamani hatawaoni.

Tangu zanaco watufunge niliumia sana walikua wa kawaida mno.

Sasa wazee wa yanga mtusaidie maana huwa mnadai haki ya mwanachama
 
Rodney01

JF-Expert Member
May 14, 2013
754
1,000
Huu utakuwa ni mtego kwa simba,sasa watamsajiri vp wakati bado yuko na mkataba na yanga mpaka July,au ndio wanataka tuwalipe kama wao walivyotulipa kwa Kessy?
 
Twamo

JF-Expert Member
May 27, 2017
2,387
2,000
Bora aende zake! Ametusaidia kiasi cha kutosha ila kama simba wamempa pesa nzuri ni jambo jema! Yanga ilikuwepo, ipo na itakuwepo! Ngoja tuomboleze kwanza msiba wa Alli Yanga!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom