Best Srtikers In The Europe

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,876
10,173
Msimu wa ligi barani Ulaya unaisha wiki hii,na mabingwa wamepatikana
England-Man United
France-Lyon
Spain-Real Madrid
Germany-Bayern Munich
Portugal-Porto
Holland-PSV
Imebaki Italy kati ya INTER & ROMA
Mshabuliaji gani ni mkali barani ulaya ,nimechukua baadhi ya SRTIKERS waliofanya vizuri msimu huu, Panga hiyo list washambuliaji 3 wakali zaidi

Karim Benzema-LYON
Game Played-51
Goal Scored-31

Luca Toni-BAYERN MUNICH
Game Played-46
Goal Scored-39

Daniel Guiza-REAL MALLORCA
Game Played-37
Goal Scored-29

Luis Fabiano-SEVILLE
Game Played-39
Goal Scored-29

Fernando Torres-LIVERPOOL
Game Played-46
Goal Scored-33

Allesandro Del Pierro-JUVENTUS
Game Played-41
Goal Scored-24

Emanuel Adebayor-ARSENAL
Game Played-48
Goal Scored-30

Dimitar Berbatov-TOTENHAM
Game Played-51
Goal Scored-23

Klaas Jan Huntelaar-AJAX
Game Played-39
Goal Scored-37
 
in short mshambuliaji mwenye magoli mengi binafsi nahisi ndie atakuwa bora so kama itawezekana hebu tuwekee na magoli waliyofunga.
 
Ingawa sio Striker ila ni kiungo mshambuliaji dogo nae ungemuweka katika waliofanya vizuri msimu huu...namzungumzia MAN UTD and ENGLAND top Scorer zis season...RONALDO, C

Hapo ningeweka hivi
Klaas Jan Huntelaar-AJAX
Game Played-39
Goal Scored-37
then
Luca Toni-BAYERN MUNICH
Game Played-46
Goal Scored-39

Fernando Torres-LIVERPOOL
Game Played-46
Goal Scored-33
Ni mtazamo wangu tu kwa hao mastrikers
 
List yangu ni
1.Luca Toni
Msimu wa kwanza Bayern but mambo yake balaa

2.Fernando Tores
Msimu wa kwanza KOP,huyu jamaa atawasaidia LIVA kubeba PREMIER league

3.Klaas Jan Huntelaar
Dogo ananikumbusha RUUD VAN GOAL
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom