Nakumbuka miaka ya nyuma mchambuzi mmoja wa soka alikuwa maarufu sana kupitia DTV chanel ten kama sijakosea,alikua anaitwa LIKY ABDALA,kutokana na yule bwana kuonekana kila siku ya mechi kubwa...
Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole '...
Binafsi nashindwa kuelewa kama umepata nafasi ya kuwaongoza watu fulani na kwa bahati mbaya au kwa makusudi ukapatwa na kashfa inayohusu utendaji wako au matumizi yako ya ofisi waliyokuamini na...
Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais.
Malinzi hataweza kwa kuwa kesi iliyomfikisha mahakamani leo itasikilizwa tena Jumatatu Julai 3 na Malinzi atakaa rumande hadi...
Kuna tetesi kwamba Donald Ngoma atania saini kwenye form za usajiri za Yanga mchana huu ili kuendelea kuitumikia Yanga,pia taarifa zinaendelea kusema kwamba,kiungo wa kati wa Yanga aliyevumishiwa...
Kwa wananchi,
Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu...
Bila shaka jamali malinzi ndio kashapotea kwenye soka Kwa namna tuliyoiona wote.swala LA msingi mbele yetu sasa ni kuhusu nani anafaa.katika wagombea waliobakia nani MTU sahihi anaefaa kuwa rais...
Kiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .
Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji...
Kimya kimya hizi ni taarifa nilizopenyezewa kutoka ndani ya Yanga,
Hawa ni wachezaji wawili ambao yanga iko kwenye mkakati wa chini
chini wa kuwasajili, Ni Martin Antwi na Amos Frimpong wote...
Ni baada ya kutoka sare ya bao 1- 1 na timu ya Mauritius huku Angola ambao
walikuwa wanafukuzana nao kwa karibu wakitoka sare ya bila kufungana na
Malawi. Mechi ya Robo fainali watakutana na SOUTH...
Nilikuwa mmoja wa wadau wa soka tuliopambana kufa na kupona kuhakikisha kwamba Jamal Malinzi anashinda urais wa TFF , Tulipambana kwa udi na uvumba , Kwa hali na mali hadi tukafanikiwa .
Lakini...
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, habari kutoka kisutu ni kuwa kaburu nyange pamoja na Aveva watakaa rumande mpaka July 13 baada ya mashtaka matatu kati ya matano kukosa sifa za kuwa na...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Jamal Malinzi amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini(TAKUKURU) akiwa katika harakati za kutembeza Mlungula.
Hatimae "Danganya...
Katika kile kinachoonyesha kwamba Watanzania hasa wapenda Soka / Kandanda wamechoka na Uongozi / Utawala wa sasa wa Rais wa TFF Jamal Malinzi hatimaye leo asubuhi mida ya Saa 5 Viongozi...
Huyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa TFF. Uhuni aliofanya ni mwingi sana likiwepo suala la migogoro katika maamuzi ya mech za Ligi Kuu kwa team zote.
Huyu jamaa ameamua kujijenga yeye na kundi...
Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati
Na mguu wake wa kushoto...
Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!
Sasa simba inasajili Kapombe...
Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya...
Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28.
Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank, hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.