Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu ila bado nazithibitisha zinasema kwamba.......

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,467
108,587
Habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja wa Marafiki wa karibu / mkubwa sana wa aliyekuwa Mchezaji wa Yanga FC Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ( jina kapuni ) zinasema kwamba wana Simba SC ' tumedanganywa ' totally kuhusu ujio wake Msimbazi na ukweli ni kwamba haji Simba SC kama tunavyoaminishwa.

Kwa mujibu wa huyu ' Rafiki ' yake mkubwa zinasema kwamba Haruna Niyonzima amemuambia kuwa roho yake inamsuta kuja kuichezea Simba SC wakati ameishi vizuri sana na Klabu yake ya zamani ya Yanga FC hivyo anajisikia vibaya kuja upande wa pili na kwamba hali hii inaweza hata ikamfanya asicheze kwa amani na furaha.

Rafiki yake huyo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa alichokiamua Haruna Niyonzima ni bora kutokurudi tena Tanzania kuichezea Simba SC na Klabu nyingine yoyote na badala yake ameamua Kuuza kila kitu chake hapa Tanzania na kwamba chaguo lake la Kwanza sasa ni kuichezea Klabu yake ya zamani ya APR au kwenda kujiunga na Klabu ' Tajiri ' kabisa na El-Merreikh ya nchini Sudan.

Hii taarifa nimeipata ' motomoto ' kabisa na nikasema nisichelewe kuwapa ' Wadau ' wangu wakubwa wa ' Soka ' humu JF haijalishi uwe mwana Simba SC mwenzangu au Watani zetu wana Yanga FC. Ila bado na Mimi naendelea kumtafuta ' Tajiri ' mmoja wa Kiarabu ambaye naambiwa Haruna Niyonzima atawadengulia wote ila kwa huyu ' Mwarabu ' huwa anakuwa mpole kwakuwa amemsaidia sana kimaisha hasa kipindi chote alichokuwepo hapa nchini Tanzania ili anithibitishie zaidi.

Ni hayo tu ' Wadau ' na Wana Simba SC wenzangu nawaomba tujiandae sana Kisaikolojia juu ya huu ' ujio ' wa Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kwani siyo siri tena kuna 1% za Yeye kuja kuichezea Simba SC na 99% za kutokuja na nadhani ni wakati muafaka sasa Uongozi wa Simba SC ukaliweka hili wazi kuliko kutupiga changa la macho ili ' Matajiri ' wachache watengeneze Jezi za Niyonzima kisha ziuzike wapige Hela ' Fasta ' kisha baadae asije na Watu wawe ' wameliwa '.

Nawasilisha.
 
Mzee wa Exclusive!

Habari zako huwa zimekaa ki-udaku udaku.Bila shaka ni Mfanyakazi wa idha gazeti la Sani, Ijumaa au Uwazi.

Ngoja nisubiri jibu la ki-udaku udaku.
 
naonaaa umeendaa mbali issue sioo kuishii Yanga
Jamaa alihaidiwa mil 90 cash zinazobaki atalipwa vaadae wasanii wa mbezi beach wamevuta mil 90 simba wanataka kumpa 70 kwanza usiulize 20 zikowapi. Na mpaka sasa viongozi wanahaha wataongeaje kwa wanambasi
 
Mwaka huu usajili wote utajulikana siku ya mwisho kabisa saa sita usiku.

Kama ni kweli angalau Simba watakuwa wamefanikiwa kuidhofisha Yanga

It's not done until it's done
 
Hakuna lolote mweny kuleta hii habar mwenyew inaonekan tu kuw ana wivu si kidogo nani lazma tu awe ni mwana jangwani.
 
Inaonekana Wewe ni mgeni na Mimi kuhusu kama Mimi ni Mnyama Mnyamani ( Simba SC ) au ni Chura Churani ( Yanga FC ). Wanaonijua humu JF kuwa nipo wapi kati ya hizo ' Klabu ' Kongwe na Kubwa mbili hapa nchini watanisaidia kukuelewesha.
 
Huyu ni kada wa kudumu wa mnyamaa. Pia sio mpenzi hata wa kuombea chumvi kwa vyura. Yaani yeye na ndala ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom