Upotoshaji kuhusu Samata

kiamangwana

Senior Member
Feb 28, 2015
175
89
Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (afrika)na sio mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wote wa kiafrika,na ushindi wa SAMATA hauhusishi nguli wa soka afrika kama AUBEMAYANG,MOHAMED SALAH nk,
 
Samata ni mchezaji mzuri, najuvunia kuwa mtanzania,najuvunia vya nyumbani, UZALENDO KWANZA
 
Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (afrika)na sio mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wote wa kiafrika,na ushindi wa SAMATA hauhusishi nguli wa soka afrika kama AUBEMAYANG,MOHAMED SALAH nk,
Na Samara sio mtanzania wa kwanza kucheza ulaya. Wapo kina Sunday Manara nk.
 
Samata mchezaji wa kawaida tu

Angekuwa anajua zaidi angekuwa ameahasogea hata scotland kidogo kuelekea EPL

Ni aibu kwa mtanzania mzima kujivunia mchezaji anayechezea lig ya ubelgiji,

Najisikia aibu

One day nitagombea urais TFF,

Kila wilaya nitaweka academy,

Kila shule za msing nitaweka ligi

Nitaweka lig za secondary had chuo,

After 5yrs nitapata vipaji ving vitakavyofuta aibu hii

NARUDIA NI AIBU KUSIMAMA MBELE ZA WATU NA KUJISIFIA SAMATA,
 
Huyu Samatta ni mkali africa... Wanyama anashindanishwa ulaya na ana kimbizana na level za kina Gaucho dada, Cr7 wakina Leonel Messi...
 
Samata mchezaji wa kawaida tu

Angekuwa anajua zaidi angekuwa ameahasogea hata scotland kidogo kuelekea EPL

Ni aibu kwa mtanzania mzima kujivunia mchezaji anayechezea lig ya ubelgiji,

Najisikia aibu

One day nitagombea urais TFF,

Kila wilaya nitaweka academy,

Kila shule za msing nitaweka ligi

Nitaweka lig za secondary had chuo,

After 5yrs nitapata vipaji ving vitakavyofuta aibu hii

NARUDIA NI AIBU KUSIMAMA MBELE ZA WATU NA KUJISIFIA SAMATA,
Kama unaamini kila kilicho bora kiko England basi kagombee uongozi FA ya huko! TFF wafuata nini????
 
Kama unaamini kila kilicho bora kiko England basi kagombee uongozi FA ya huko! TFF wafuata nini????
Sijasema bora kipo england

Unakaaje mbele za watu na kujisifia kuhusu samata? Hauon aibu

Ni heri ujisifie diamond platnmuz nitakuelewa

Ili uwe famous lazima ucheze ligi kubwa tano bora ulaya

Ya kwanza ni EPL,

HUYO SAMATA UMRI NDIO UNAENDA HIVO HATA TIMU ZA CHAMPIONSHIP HAKUNA INAYOMUHITAJI

NI HERI AKACHEZE CHAMPIONSHIP KULIKO KUCHEZA LIG YA UBELGIJI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom