M-Bet na Mkeka Bet ni tofauti?

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Hizi kampuni za Betting(M.bet na MKEKA BET)kama sio Matapeli basi ni wezi wanatumia Number za simu sawa na 300300 namba ya kampuni ila ukipiga simu wanasema sio wao 0762768500/0758833333.Mwenye kuhusika hawa wafatiliwe.
 
Duh! Wewe unavizia mods wameenda kupata lunch ndiyo unaanzisha threads za ajabu ajabu tena kwenye jukwaa la kisiasa.
 
Wewe ndio huelewi
Toka lini chadema na ccm vikawa sawa?
 
Si kweli Kua ni Matapeli sema umejichanganya wewe mwenyewe.
Hizi kampuni za Betting(M.bet na MKEKA BET)kama sio Matapeli basi ni wezi wanatumia Number za simu sawa na 300300 namba ya kampuni ila ukipiga simu wanasema sio wao 0762768500/0758833333.Mwenye kuhusika hawa wafatiliwe.
mkeka bet na mbet ni tofauti!mkeka bet wapo more professional on betting industry lakini mbet ni wababaishaji sana na ni wezi!ukibet mara nyingi hawa confirm ticket yako ukishinda wanadai ipo expired ila ukiliwa wanaconfirm ticket yako na kudai umeliwa!Mkekabet wanajitahidi sana!!
 
kaaa kmya kama hujui watu tunatusua kupitia betting halafu unakuja na maswali yasiyoeleweka ww uko dunia gan mwenzetu?
 
mkeka bet na mbet ni tofauti!mkeka bet wapo more professional on betting industry lakini mbet ni wababaishaji sana na ni wezi!ukibet mara nyingi hawa confirm ticket yako ukishinda wanadai ipo expired ila ukiliwa wanaconfirm ticket yako na kudai umeliwa!Mkekabet wanajitahidi sana!!
acha uongo negan ata mbet wako smart, mbona mm mara kibao nmewachapa mpunga wa kutosha na wanantumia on time, last weekend mshikaji wangu kawachapa mia 3, sema utofauti wa mkeka na mbeti ni kwamba mkekabet wana option nyingi za kubet kuliko mbet, lakin wote hawa ukiwachapa wanakutumia pesa yako.
 
mkeka bet na mbet ni tofauti!mkeka bet wapo more professional on betting industry lakini mbet ni wababaishaji sana na ni wezi!ukibet mara nyingi hawa confirm ticket yako ukishinda wanadai ipo expired ila ukiliwa wanaconfirm ticket yako na kudai umeliwa!Mkekabet wanajitahidi sana!!
True mkeka bet kama bet za Ulaya Mimi filimbi ya mwisho ikishapigwa Pesa inaingia Bila tatizo.
 
Bururu achana na masuala ya betting na ufanye masuala mengine yatakayokupatia kipato maana kamari haikupendi
 
Back
Top Bottom