Professional Okwi awasili Dar Es Salaam

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,750
Emanuel Anold Okwi awasili jijini Dar es Salaam jana usiku tayari kwa kusaini mkataba kuitumikia klabu ya Simba msimu ujao
19420449_794262434066107_1069618330806573375_n.png.jpg
 
Wapigaji haooo.... Yaani Simba ni tatizo... Wajanja yao 40% wanachama woyooooo..... Teeteeeh
 
Yawezakuwa okwi ana 30.....lakini si mzee kama Bossue na Kamusoko. Tutaona uwanjani tusimhukumu kwa umri wake.
 
Ukiona mchezaji kashindwa kucheza ulaya amekwisha kama Boban alivyorudi ndezi
 
Back
Top Bottom