Kocha wa wekundu wa msimbazi kasema alikuwa miongoni mwa makocha waliokuwa wanafikiriwa kuajiriwa na Tottenham Hotspurs. Simba iko juu
====
Kocha wa Simba, Patrick Aussems amerudi na kusimamia...
Akizungumza leo Msemaji wa M-Bet Tanzania amesema wamefikia hatua hiyo ya kudhamini ligi hiyo ya Ruvuma Vijana Cup Ikiwa ni muendelezo wao wa kusapoti kuibuliwa kwa vipaji vya vijana wa Kitanzania...
Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano
Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za...
THE RETURN OF THE KING
Mourinho anarudi katika EPL kuifundisha Spurs baada ya Spurs kuwa wameachana na kocha wao Pochetino kutokana na kile walichosema ni kutokana na mwendelezo mbovu wa matokeo...
Baada ya mijadala mitandaoni, hii ni kauli ya Mbwana Samatta. Je, tutarajie mabadiliko yoyote kutoka kwa Captain, au ataendelea kupuyanga?
Je, kwa Tweet yake hii ni kweli amegundua alikuwa hajitumi?
Our team in the U17 World Cup:
7 matches
7 wins
19 goals scored
6 goals conceded
Winners of the tournament and 100% in all competition.
Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on...
Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa...
JUMATATU iliyopita, Cristiano Ronaldo alifikisha bao lake la 700 katika maisha yake ya soka, wakati alipofunga mara moja akiwa na Ureno kwenye mechi ya kipigo kutoka kwa Ukraine kwenye...
Hawa jamaa wamefungwa kizembe sana, kwanza wametumia kodi zetu vibaya na huu ni uhujumu uchumi.
Wanafaa wakifika watandikwe viboko ili wajue kuipigania nchi sio kuchekacheka hovyo uwanjani.
Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali.
Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil...
Huyu ni moja kati ya mastriker mahiri kabisa wa Dar Es Salaam Young Africans. Jina lake anaitwa Mohamed Hussein " Mmachinga" . Bingwa wa kucheka na nyavu. Yupo wapi huyu jamaa ?
Taarifa zinaeleza kuwa wawakilishi wa Jose Mourinho na wale wa Klabu ya Tottenham wamekuwa kwenye mazungumzo kuhusi jambo hilo
Wanatarajiwa kufikia makubaliano yatakayomfanya Jose Mourinho awe...
Ronaldo vs. Messi: career hat-tricks, goals, season statistics, trophies
http://messivsronaldo.net/all-time-stats/
but wote tunajua hizi sifa Hapa chini CR7 hana,hivyo messi ataendelea kuwa juu ya...
Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs...
Kwa Hali ilivyo,isiporekebishwa Simba kukosa mbadala waKagere na Boko NI jambo hatari Sana.
Na hili limejitokeza baada ya majeraha ya Boko.Watu wakimkamata Mk14 gemu imeisha,NI heri wangmwacha...
ARSENAL ilianza kuharibika lini? Ilipojenga uwanja wake wa Emirates. Ilikuwa inatesa sana ikiwa katika uwanja wa Highbury lakini tangu walipohamia Emirates habari ikageuka. Natania tu, lakini kuna...
Mpira wa Afrika umejaa figisu bila miamala hauendi.
Juzi E Gine tumeshinda mbili kwa moja lakini ukiangalia penati ya Samata ilikuwa wazi kabisa Refa akatupotezea bila juhudi binafsi za wacheji...
Ni dhahiri kuwa timu ya Taifa kwasasa ipo kwenye kiwango kizuri sana (kinavutia).
Leo tarehe 19.11.2019 majira ya saa 22:00 timu yetu ya taifa (taifa stars) itashuka dimbani kumenyena na Libya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.