Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi inayofuata Simba imejifua bila ya kocha wake Mkuu Patrick Aussems ambaye...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Emanuel Augustus/Emanuel Burton A.K.A Drunken Master amezaliwa January 2, 1975 Brownsville Marekani. Alianza mapambano kama professional boxer miaka ya 1990 hadi mwaka 2011. Huyu mtu hakupata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama tunavojua kwa misimu yote ya nyuma, LFC hawana pumzi ya mbio za marathon, wataishia njiani! Majeruhi kwa Mo Salah, Mane na Firmino ubingwa kwaheri!
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemtaja mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere, pamoja na mshambuliaji Emmanuel Okwi, ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC na kupata...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Bondia kutoka nchini Ufilipino Arnel Tinampay amewasili nchini Tanzania akiwa na daktari wake pamoja na mpishi wake tayari kwa ajili ya pambano litakolopigwa Novemba 29 mwaka huu katika uwanja wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa muda mechi hii itakapochezwa. Naona kila mkiandika mnaandika mambo mengi ila hamsemi match ni saa ngapi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo kutawakutanisha team ya man city vs Chelsea na inategemewa itakuwa game nzuri. tuanze kuona strength na weakness za Kila timu. Strength ya Chelsea Bahati nzuri kwa Chelsea leo trio...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kesho alfajiri tutashuhudia pambano kubwa la uzito wa juu kati ya Deontay Wilder 'The Bronze Bomber' na Luis Ortiz 'KingKong', hili ni pambano la marudiano baada ya lile la awali liliyofanyika...
2 Reactions
140 Replies
12K Views
Floyd Mayweather kurudi ulingoni mwakani 2020 kwa mujibu wa Instagram yake! Mayweather announced on Instagram he will pull on the gloves again, with UFC president Dana White then taking to...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kupitia page ya shirikisho la mpira barani africa, wametoa orodha hiyo. Ni hatua kubwa kwake kuwekwa kwenye orodha. Kushinda ni swala lingine. Ningeshangaa kam asingewekwa maana kwangu alikidhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Magoli Magoli Magoli 700 ,ndivyo unavyoweza kimuita Leo Cristiano Ronaldo ,CR 700 ,baada ya hapo jana kufunga goli la penati kwa Ukraine MNYAMA na mtambo wa kusimamia nyavu CR 7 AMEFIKISHA MAGOLI...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Mou kashaanza kutoa stress ndogondogo, kila la kheri kwa new mistakes[emoji28][emoji38][emoji38]
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza nikiri kwamba sikuwa na habari kama bondia wetu Abdallah Paziwapazi kama kapata bahati ya kupata pambano kubwa hivi, nasema kubwa kwa maana bondia aliyepigana naye 'Rocky Fielding' ni...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Katika michuano inayoendelea sasa hivi ya CECAFA SENIOR WOMEN CHAMPIONSHIP, Kilimanjaro Queen's imekuwa na muunganiko mzuri. Ukiwa unaiangalia timu hii unaona ule muunganiko mzuri. Pia unaona...
12 Reactions
66 Replies
7K Views
Tuache Unafiki Wewe Kiongozi (tena Mwandamizi kabisa) uliyeko hapo TFF acha Chuki zako kwa Kipa Aishi Manula kwakuwa tu umekasirika hakukupa ' Mgao ' kidogo katika ile Hela ambayo alizawadiwa na...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Yanga sc XI Vs JKT Tanzania fc. 1. Farouk Shikalo. 2. Juma Abdul. 3. Jaffary Mohamed. 4. Lamine Moro "Varrene". 5. Ally Mtoni. 6. Pappy Tshishimbi (C). 7. Deus Kaseke. 8. Mapinduzi Balama...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Anapokuwa Timu ya Taifa huwa naangalia uzuri wa Samatta ambao natarajia kuuona, siuoni. Sikumbuki ni lini amewahi kutuokoa kwenye hali tete zaidi ya kufunga magoli rahisi na ya kawaida. Tena bora...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
. Kitakwimu, No doubt hakuna team ambayo imefunga magoli mengi premier league msimu huu so far kuliko man city (35), Hakuna team yenye wastani mzuri wa umiliki wa mpira/possession zaidi ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Imebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mabeki wa kulia waliopo sasa ukimtoa Kapombe nazani beki bora anaefuatia ni Juma Abdul. Hapo nyuma Zahera alimshusha kiwango kwa kumuweka bechi bila sababu.Kwa tulioangalia vzr mechi za Stars...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom