Kama kweli una nia ya kuupeleka mbele mchezo wa boxing bongo acha kupigana na aina hii ya wapinzani, hawatakupeleka popote.
Mtu ana loss 24 unapigana naye ili iweje, ili akupeleke wapi? He is...
Nimekaa na wazee hapa, wanabishana kuwa Sunday Manara "Computer" ndiye mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Ila miongoni mwao wapo wanaosema hakuna kama Edibily Jonas Lunyamila...
Wakuu, hizi habari zilinazotrend toka Jana kuwa jamaa kaikacha msimbazi then kaonekana JK Nyerer Airport kana kwamba anakwea pipa.
Pia, inasemekana kuwa pale msimbazi wamevunja whole bench la...
Mechi za kirafiki za Brazil baada ya kuchezea kichapo kwa Argentina, suluhu na Panama naona wana kipiga na akina Son, Korea ya Kusini.
Son alipiga bunge la shoot ila nyanda kaliona
Coutinho...
Hivi jamani, hebu tena tulichambue hili;
ina maana huyu Kaseja baada ya kutamba miaka kumi iliyopita na akafifia na mpaka kupotea, means sasa ame-recover na kuweza kuwa bora zaidi ya Manula ambaye...
Pale uwanja wa chamazi Azam complex kuna mashindano ya mpira wa miguu kwa timu za wanawake kutoka mataifa ya Afrika mashariki na Kati ( CECAFA) . Kwanza niseme kwamba Kuna timu za wanawake...
Huu ni ushauri tu ninaokupa ndugu yangu , nafahamu ulivyochanganyikiwa na kutimuliwa Yanga kwa kutupiwa mfuko wako wa Rambo , hata mimi nakuhurumia , lakini jiangalie usije kushangaa mjini hadi...
Taifa Stars ya Tanzania inachuana na Equitorial Guinea leo usiku na mshambuaji wa taifa stars Mbwana Samatta amesema ana matarajio makubwa kuwa watakuwa na matokeo mazuri katika mechi hiyo...
Habari wana jukwaa,
Kwanza kabisa ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa timu yetu ya taifa kwa kipigo kizito walichotoa jana.
Nahisi Guinea hawatasahau ukizingatia goli la mwamba wa Azam...
wadau msaada jinsi ya kubeti ? Soka Beti , M-Bet , Meridian Beti , Sport Pesa Na Mtu Wakubeti anatakiwa aweje ? Je Unatakiwa Kujua Mpira Sana Au Nikubuni Tuu Wakuu Vyuma Vimekaza Kila Mmoja...
Kiukweli nimekaa nikawaza sana kuhusu huyu mwanaume Jordan Henderson.
Najua kuna watu hawampendi, wanaona kiwango chake kidogo, kiko chini mno, hafai kuwa Liverpool.
Nimemchunguza toka alipopewa...
Leo imekua mechi mbaya kabsa kwa Mbwana. Kila alichojaribu kufanya kiligoma. Sio kwamba alikabwa sana na opponents. Mara nyingi alikua anapoteza mpira peke kabisa. Sijui wengine mlivyomtazama.
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha...
Wakati akizungunza na Gazzeta dello Sport na nchini Italia, Pele aliongea mambo kadhaa, (Kimsingi alikua anamzungumzia ubora wa Messi)
Jambo lilinivutia ni hili naunukuu "but feels there are not...
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza.
Wito wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.