Brazil yanyakua kombe la dunia michuano ya wachezaji chini ya miaka 17

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,906
4,841
Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali.

Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil Gabriel Veron amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo wakati mchezaji Matheus Donelli wa Brazil ameibuka Kipa bora.

Aidha, tuzo ya mfungaji bora ya imeenda kwa Sontje Hensen wa Paraguay aliyefunga bao sita (6) katika michezo saba (7) aliyocheza.
 
Back
Top Bottom