Hazard: Chelsea atamfunga man city

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,901
Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs Chelsea anayeshika nafasi ya 3 ya league.

Hazard ameiambia sky sports yeye anaona Chelsea ataibuka na ushindi na ametoa sababu wakati nikiichezea Chelsea mwaka Jana nilikuwa Sana tegemezi ila Chelsea ya sasa " no hazard there is a party" wanacheza as a team work, wanafunga magoal mengi as fun na pia wanakocha mzuri Sana.
 
Sishangai. Hata manara anadai simba inaifunga barcelona.
Mfano wako upo tofauti Chelsea na man city wote wapo kwenye level moja msimu uliompita Kila mtu alimfunga mwenzake Chelsea alimfunga city Stamford bridge na man city alimfunga Chelsea Etihad hapo hakuna chakushangaza mtu yoyote akifa.kitu chakushangaza labda Norwich kumfungia man city.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom