Rekodi inashikiliwa na Abdallah Juma aliyecheza Mtibwa msimu wa 2004-2005 ambapo alifunga goli 25 za ligi na mpaka leo hakuna aliyefikia rekodi hiyo achilia mbali kuivunja.Kitaa kipi? Jamaa alikuwa bonge la striker huyu..Rekodi yake yake ya kufunga goli 26 mwaka 1999 bado haijavunjwa mpaka leo.
Acha uongo, Mmachinga peke yake ndo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi(26)Rekodi inashikiliwa na Abdallah Juma aliyecheza Mtibwa msimu wa 2004-2005 ambapo alifunga goli 25 za ligi na mpaka leo hakuna aliyefikia rekodi hiyo achilia mbali kuivunja.
Namaanisha toka iitwe VPLAcha uongo, Mmachinga peke yake ndo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi(26)
Huyu ni moja kati ya mastriker mahiri kabisa wa Dar Es Salaam Young Africans. Jina lake anaitwa Mohamed Hussein " Mmachinga" . Bingwa wa kucheka na nyavu. Yupo wapi huyu jamaa ?
Huyu Omary Hussein ndo Yule wa miaka ya tisini mwanzoni?mdogo wake anaitwa FIKIRI HUSSEN MMACHINGA na dada yao pia wote walikuwa wachezaji wazuri tena vipaji hawa wadogo zake ni mapolisi ccm pia omari husseni huyu alikuwa majimaji ile ya garincha
Du hatari sana...Sanifu Lazaro anapiga debe? Umenikumbusha George Gole wa Pamba ya Mwanza..Huyu amecheza na kina Niko Bambaga, Abdallah Boli, Kitwana Suleiman n.kAnapatikana sana Tandika japo amejikita pia katika Biashara zake ambazo huwa anazifanya kati ya Dar na Mtwara na ule unene wake sasa umezidi. Ukimtaka mchezaji mwenzie ' nguli ' Sanifu Lazaro ' Tingisha ' utampata sasa pale Buguruni au Mbagala ambapo sasa ni Mpiga debe na Kondakta wa Basi za Buguruni na Mbagala huku Mchezaji mwenzao Beki mahiri mno wa Timu ya Pamba FC enzi hizo George Gole ambaye sasa ndiyo muuzaji na mnywa Gongo mkubwa pale Nyegezi Mwanza jirani kabisa na Shule ya Msingi ya Nyegezi.
Hapana yule ni striker huyu ni full back wa kushoto ni Mdogo kwa mmachingaHuyu Omary Hussein ndo Yule wa miaka ya tisini mwanzoni?
Sory ndg katika kumbukumbu zng mwenye hyo record ni Omary Hussein "Keagan" akifuatiwa na Abdallah Juma wa mtibwa goli 25!Kitaa kipi? Jamaa alikuwa bonge la striker huyu..Rekodi yake yake ya kufunga goli 26 mwaka 1999 bado haijavunjwa mpaka leo.
Nyote mko sahihi haina haja ya kubishana Omary Hussein "Keagan" anaongoza kwa goli 26 akifuatiwa na Abdallah Juma wa mtibwa goli 25 na sio Mohammed Hussein ila km ni hyo Mmachinga ningeomba kueleweshwa vzr nahitaji kufaham co ubishani!Acha uongo, Mmachinga peke yake ndo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi(26)