Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wahakikishe mikataba yao kama ina mapungufu au la. Timu imevamiwa na matapeli na wahuni wazee wa wape salamu.
Wamekuwa matapeli kabisa ,tshishimbi walisema amesaini...
UTANGULIZI
Kama hujaelewa au huelewi maana ya neno la Kiswahili la 'yanahisiwa' tafadhali mtafute Mtu akueleweshe kuliko 'Kuukurupukia' huu Uzi tafadhali.
UDUKUZI ULIOFANYIKA
Baada ya Sakata zima...
A Barcelona player has tested positive for the novel coronavirus after reporting back for pre-season training, the La Liga side said in a statement on Wednesday.
Barca said the player was...
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada, mfumo wa uendeshaji wa timu uko katika Katiba ya timu husika ambayo mostly probably hupitishwa na wanachama wa timu husika.
Mtendaji mkuu wa Simba huteuliwa...
Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba'...
Wakuu Habari zenu?
Hilo sakata la Morrison kusajiriwa na simba huku yanga wakidai ni mchezaji wao bado linachukua siku tatu kwenye kutolea maamuzi,Inatoa picha ya mambo mengi sana kwenye soka...
Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison.
Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza...
Nimefuatilia kwa siku kadhaa sasa kuhusiana na sinema inayoendelea kati ya Ramadhani Singano 'Messi' na klabu yake Simba. Japo sijajua nani ni mkweli na nani mwongo, lkn ninapotafakari...
SIKU mbili baada ya Simba kudai imemsomesha mshambuliaji wake, Ramadhan Singano Messi, walimu wa shule aliyosoma ya Al-Farouq Islamic Seminary wameibuka na kukanusha madai hayo.
Mtandao huu...
Wakati lile movie likiendelea huko Karume leo wananchi wametangaza ingizo jipya, ni Farid Mussa aliyekua akikipiga huko mbele.
===
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili winga wa zamani wa Azam FC...
Wakuu salaam,
Naomba kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa mtizamo wangu juu ya hili swala Morrison linaloendelea kuleta sintofahamu nchini. Nikiri kuwa sina taarifa zote za ndani badala yake...
Leo hii wamefoji barua inayosomeka kuwa imeandikwa na mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum 'sureboy' na kuiwasilisha katika uongozi wa Azam FC, ambapo lengo la barua hiyo ni kuishawishi uongozi wa...
Maelezo ya picha: Refa akionesha kadi nyekundu
Refa mmoja amepigwa ngumi usoni katika mechi ya kandanda ya kirafiki baada ya kumpatia kadi nyekundu mchezaji wa klabu ya Sporting de Mundial mjini...
Kwa kawaida kama kuna tatizo lolote lililofanywa na yanga,hutaona kabisa kwenye uchambuzi wa suala kama hilo kwenye page zao ama vipindi vyao.
Sana sana utasikia lawama za jumla jumla tu ooh hizi...
Mpira wetu ni semi- professional, yaani bado ni vuluvulu. Kumzuia mchezaji anayetaka kuondoka hakuisaidii club wala mchezaji. Kama akicheza chini ya kiwango kwenye club yako majibu utakuwa nayo...
Hili jambo limekuwaa kituko
Binàfsii hii KAMATI ya maadili yote ya kuvunja baadaa ya Kutoa matokroo
Uwezii ukakaaa sikutatuu mnajadili Makaratasi huu utovu wa nidhamu
Na kama WAHUSIKA wanamisi...
Hapoo mtaokoaa majangaa MENGI yasjyoo na msingj kama ya Morrison
Ahsanteni kama mmeliona hili. Nashauri wakimalizama ya Morrison arudishwe Kwaoo akajifunze adabu na itakuwa MF kwa watakaokuja...
Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!!
Imagine mwandishi eti anahoji mbona...
Aliyekuwa kocha wa Zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ametangazwa na team ya Gwambina fc kuwa mkurugenzi mkuu wa ufundi wa team hiyo. Gwambina inakuwa team ya kwanza Tanzania kuwa na cheo Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.