TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,271
Hivi kweli hii inshu ni ya kujadiliwa siku 3?

IMG_20200811_175713_727.jpg
 
😃😃😃 jana na leo kila mara naangalia updates kujua hatma imekuaje ila bila bila. Hili sakata ni zaidi ya ile March 8 au July 12 kwa msisimko wake
Nami nimeingia mitandaoni kupata updates nimekuta bilabila,. hili sakata naona kuna ka harufu cha mpunga kutembea
 
Kwa kitendo kinachoendelea ni dhairi kua Kamati inataka kuokoa upande mmoja. Eti baadhi ya document hamna wakata sakata ni la mkataba Yanga si wapeleke mkataba waliomsainisha Morison.

Maana issue ni Morrison anamkataba na Yanga au hana. Au kesi nyingine zaidi ya hii ambayo sisi hatuijui
 
Siku tatu ndogo sana itafika hadi wiki mkuu na hakutakuwa na solution.

Tatizo lipo kule TFF kule kuna mashabiki wa yanga na simba pia.

TFF inashindwa kusimama kama yeye hayuko upande wowote ule.

Ingekuwa timu nyingine inagombea mchezaji na simba au yanga isingekuwa siku zote hizo,maana TFF kule watu wa yanga au simba wangelipeleka upande wao lingeisha sasa wote hao TFF wengine wapo simba na wengine wapo yanga hapo hakuna atakaye kubali hapo.
 
ELIAS MWANJALA Mwenyekiti wa kamati ya sheria na Hadhi za wachezaji.
Kiongozi wa zamani wa Yanga na Mwanachama wa Yanga.

Documents zote za mikataba ya wachezaji Copy zake zipo TFF kwanini leo Document moja isionekane.

Kama Yanga haina Document za mchezaji ambaye inasema ina mkataba nae kwanini waseme Marrison ni mali yao .
 
Siku tatu ndogo sana itafika hadi wiki mkuu na hakutakuwa na solution.

Tatizo lipo kule TFF kule kuna mashabiki wa yanga na simba pia...
Ila lazima hili suala lipate ufumbuzi, hapa kuna mkubwa mmoja anaenda kuumbuka
 
Back
Top Bottom