Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,416
- 18,856
Wakuu Habari zenu?
Hilo sakata la Morrison kusajiriwa na simba huku yanga wakidai ni mchezaji wao bado linachukua siku tatu kwenye kutolea maamuzi,Inatoa picha ya mambo mengi sana kwenye soka letu la bongo .
Inavyoonekana watoa maamuzi wa TFF wana maslahi binafsi kwenye simba na yanga ifike mahali kuwa kiongozi TFF hautakiwa kuwa na maslahi yoyote kwenye simba au kwenye yanga.
Kinachojadiliwa kinashindikana kutokana na waamuzi wa TFF ni simba na yanga wamechanganyika ndio maana maamuzi yanashindwa kutolewa kila mtu anavutia sehemu yake,TFF sio chombo huru kutoa maamuzi kati ya simba na yanga,kiasi kwamba kitoe tu maamuzi bila ya kuangalia maslahi ya simba au yanga.
Ingekuwa simba au yanga na timu zingine ndogo ingekuwa sio Habari hilo swala lingeisha ndani ya dakika 5 tu, ila kwakuwa watoa maamuzi wenyewe ndio wanaobishana ndio maaan inachukua muda wote huo huku swala zima linajulikana kabisa na namna ya kuamua Lina julikana kwakuwa nyaraka zote zipo TFF na sio kuanza tena kuchukua kwa wahusika.
Limeendelea kuchukua muda nalitaendelea kuchukua muda.
Najiuliza hivi azam Aliwe zaje kuchukua ubingwa wa ligi yetu ule mwaka maana kwenye ligi yetu ni mwendo wa simba na yanga tu.
Kuzishinda hizi timu lazima uwe simba au yanga ,sasa Safari hii wamekutana wenyewe wao kwa Wao ndio maana ngoma imekuwa ngumu.sitaona ajabu na kesho pia waka sema kesho kutwa.
Hili swala lilikuwa ni lakuamuliwa siku moja tu. Maana kila kitu kiko wazi na kinajulikana.
Ni hayo tu wakuu.