Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ipo mijadala humu jukwaani kuhusu Atheism! Kwa bahati mbaya nimejaaribu kuifuatilia bila kufata maana halisi! Kwanza wachangiaji wanatumia kiingereza kigumu sana na wengi ni walewale. Ukweli ni...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Dola ya Rumi au unaweza kuiita Roman Empire ni moja ya falme nne zenye nguvu zilizo tokea kuitawala duniani kama ilivyo tabiriwa kutoka kwenye maandiko matakatifu. Soma kitabu cha (Danieli sura...
6 Reactions
103 Replies
13K Views
Hebu leo tulijadili hili kwa mapana yake Luciferianism na Satanism kwa kuwa wengi huwa tunachanganya tukidhani ni kitu kimoja lakini chenye majina tofauti, lakini kiukweli ni vitu viwili tofauti...
58 Reactions
390 Replies
72K Views
Kwa vizazi vyetu vya Siku hizi , imekua ni ngumu mno kufuatilia mambo ya ukoo /Mizimu, huku wengi tukiita ni mapepo wachafu ambao hatupaswi kuwa nao karibu kabisa. Na vitu hivi vimekua...
13 Reactions
97 Replies
29K Views
Watunzi wa biblia na vitabu vingine vya imani walijisahau na hawakujua kama Ubongo wa binadamu utakuja kuongezeka na kuanza kuhoji mambo kwa kina. Watunzi hawa wa Biblia hawakujua kabisa kama...
16 Reactions
112 Replies
10K Views
Cc Kiranga “Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent. Is he able, but not willing? Then he is malevolent. Is he both able and willing? Then whence cometh evil...
2 Reactions
371 Replies
37K Views
Nje nakuamini nguvu fulani ya utendaji ktk nyanja ya utawaliwa, maisha ni halisi tena ni halisi ya uhalisia. Naandika kitu hichi lakini najua tuna makundi tofautitofauti kiufahamu, naamini sio...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Uislamu uko zaidi mashariki ya kati, uarabuni, mataifa yanayopakana na uarabuni, Afrika Kaskazini na Nusu ya Africa magharibi. Ukristo uko zaid Ulaya, Marekani ya Kusini na Kaskazini, Australia...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu Zangu nyote Habarini za Leo Someni Biblia Kwa Akili Ndugu zanguni, AChaneni na Dhana ya Mambo ya Kusubiri Roho ziwatafsirie. Dhana ambayo Bado Ni Potofu na Inayofunga Akili zenu zisitumike...
9 Reactions
361 Replies
20K Views
Tangu nilipoingia kwenye siasa, kimsingi nimeaminishwa maoni ya wanaume kwa faragha. Baadhi ya wanaume wakubwa nchini Marekani, katika uwanja wa biashara na utengenezaji, wanaogopa kitu. Wanajua...
7 Reactions
18 Replies
5K Views
Leviticus 19:4"Do not turn to idols or make metal gods for yourselves.Iam the Lord your God". Judges 10:14,"Go and cry out to the gods you have chosen,let them save you when you are in trouble"...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Kuna theories nyingi....moja ikiwa hii Mr Clean alipigana kwenye kamati mwenda zake kuingia ndani kutokana na historia yake na wale jamaa wa mipango. Mdau ananiuliza hapa...je kufuatana...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Mwaka 1859 mwanabaiolojia Charles Darwin alichapisha kitabu chake kuhusu chanzo cha viumbe wote duniani chenye jina “On the origin of species” Kilichoelezea theory yake ya evolution. Darwin...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina...
13 Reactions
124 Replies
26K Views
1.Kwa nini wanaume wengi ndio huwa atheists kuliko wanawake? Atheists wanawake ni wachache sana na hakuna walio maarafu duniani. Ni nadra sana kukuta atheists wanawake kwenye jamii hasa ya Africa...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Basi kwa neema na baraka zake Mungu baba alie juu mbinguni mahali patakatifu ahimidiwe kwa busara na hekima zake kwa uhai aliotujalia na afya na anijalie niandike vyema ili kusudi langu lieleweke...
10 Reactions
76 Replies
24K Views
Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Kwa wale wadau wa mambo ya sayansi ya Anga za mbali, Kuna SHORT video YouTube unaweza search inaitwa, A 3D Atlas of the Universe - Carter Emmart Link: Hivi Uhalisia wa hii...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi...
17 Reactions
180 Replies
24K Views
Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa. Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom