Familia ya Rothschild ni familia yenye matajiri ikishuka kutoka chini ya Mayer Amschel Rothschild mwenyewe, kutokana na sababu za kisheria kwa Landgraves ya Ujerumani ya Hesse-Kassel katika Jiji...
NGUVU YA MATAMKO. (Neno)
Siri ya Uponyaji.
Angalizo.
Uzi huu sio wa kidini isipokuwa nitadokoa tu baadhi ya vifungu kidogo kwenye baadhi ya maandiko matakatifu kujazia jazia nyama ili nieleweke...
Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo.
Wakati wa vita endapo...
Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao...
An ex illuminati member has penned a letter outlining the plans the secret society has in store for humanity in the next few years.
After spending 47 years as a high-ranking illuminati member...
labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje...
Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani.
Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu...
Kwanini, muuaji alitumia bunduki ya kienyeji yenye uwezo wa kupiga umbali wa mita 10-15 kwa kifanya uhalifu kwa kiongozi mkubwa kama Shizo Abe? je aliwezaje kufika karibu ya kiongozi huo? Kuna...
NB: Ninaandika haya kwa lengo la kutaka kujifunza, na nitafurahi kukosolewa maana ndivyo nitakavyo jifunza zaidi. Ila wale mnaokosoa lugha naomba kwenye huu uzi mnikaushie...
Hii wala sikushauri ujaribu hutaweza hii ni level ya juu na practice ya muda mrefu, naweza kukushauri kujaribu kuacha kupumua kwa sekunde 30, ukifanikiwa acha kwa dakika nzima, endelea mpaka uweze...
Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio...
Jana, kuna mtoto wa form 2 aliniuliza ''Nini maana ya ulimwengu?"
Mimi Nikamjibu, "Ulimwengu, Ni Kila kitu kilichopo sasaivi (wewe hapo,vitu vyako vyote, watu wako wote wa karibu,watu wote wa...
Salaam wakuu...
Kisa Cha Ibrahimu na Isaka kimeelezwa vizuri katika vitabu vitakatifu vya dini.
Katika biblia,kitabu Cha mwanzo 22 mstari wa1-14 kinaeleza tukio la Mungu kumjaribu Ibrahimu amtoe...
Naomba nisaidiwe mawazo ktk hili.Miaka ya nyama katika nyumba ninayoishi lilipata kutokea tukio.
Ilikuwa ni usiku wa mwisho wa mwezi ramadhan,Dada yangu ambaye ndiye mpishi wetu wa miaka yote...
Himaya ya Misri ilianza miaka mingi sana. Ilianzishwa mwaka 3000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Huo ulikuwa utawala wa mwanzo wa kujenga dola. Utawala wa mwanzo ukaisha mwaka 2700 hivi kabla ya Yesu...
1.Mungu kama ulimwumba kila mtu kwa mfano wako, je wewe ni mwamaume au mwanamke?
2.Mtu akiugua, aende hospitalini kupewa tiba au akafanyiwe maombi? Na akifanya vyote, kipi kitasaidia zaidi...
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa Manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe.
Hii ni...
Nimekuwa muumini mkubwa sana wa kufuatilia historia ya ulimwengu pamoja na uwepo wa viumbe ama miungu hii ya ANUNNAK toka katika sayari nyingine.
Maswali ninayojiuliza mpaka sasa ni kwamba...
Wala-Watu wa Tsavo walikuwa Simba wawili waliojulikana sana kwa kuwala binadamu. Simba hawa walisababisha vifo vya idadi kubwa ya wajenzi wa Reli ya Kenya-Uganda , tangu Desemba,
1898.
HISTORIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.